CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

Hahaaaaa nimemuona lowasa sasa hivi taarifa ya habari azam tv, the guy is really sick, vidole vinatetemeka balaa, no coordination at all

cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Wapinzani Bado hamjakomaa kisiasa kiasi cha kupewa Nchi, subirini 2055 kama bado mtakuwa hai.

Umekula hela nyingi sana ya ccm, na kama unashabikia kwa ushabiki tu, kwa sasa unatakiwa kuwa ICU ya wagonjwa wa akili.
 
Hahaaaaa nimemuona lowasa sasa hivi taarifa ya habari azam tv, the guy is really sick, vidole vinatetemeka balaa, no coordination at all

cc FaizaFoxy

We mbona una ukimwi hujisemi au unajiona mzima..huyo ndo Rais na mjadala umefungwa...itafahamika tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe una mtazamo finyu. Unafikiri watanzania wanakusanyika maelfu kwa sababu wanamuunga mkono? Wwatu wanatafuta anachotoa, subiri apigwe chini uone kama kuna mtu atazungumza habari zake.
Wee ni mmoja wa wachache wenye akili.
 
Wapinzani Bado hamjakomaa kisiasa kiasi cha kupewa Nchi, subirini 2055 kama bado mtakuwa hai.

wewe unategemea mamvi atapitishwa kugombea uraisi kupitia ccm mjiandae kisakolojia
Raisi ajaye atatoka nje ya ccm
VOTE FOR UKAWA
 
Mutimueni, mwachani mpitisheni awe mgombea . mwaka huu hatudanganyiki. TUNAKWENDA NA UKAWA. tumechoka kubadilisha mashati
 
Naelewa sana kuwa alikuwa sehemu ya serikali iliyoshindwa na hata ya nyuma yake.Labda wewe na ukada wako ndio huelewi kuwa tatizo la nchi hii ni mfumo wa uongozi wa serikali na chama chako kinachoongoza. Nae alikuwa waziri mkuu tu tena awamu hii ya nne angeweza kushauri na sio kubadilisha lolote.Sasa anakuja kama kiongozi wa nchi na atafutilia mbali mfumo huu unaokumbatia wezi na kutoa maamuzi kwa wakati muafaka.Nadhani nimekuongezea uelewa fulani tofauti na unavyonifikiria kuwa mimi ni -----.


Waziri Mkuu ndio kiongozi mkuu wa serikali, Raisi mbwembwe tu.., mambo yote ya kiutendaji siku hadi siku yanaishia kwa PM, Raisi ana-deal na mambo ya kisera tu. Sasa kama PM kaboronga, kashindwa kushauri, hawezi kuja kudai kuwa ana kipya. Kwani hana ushawishi, na hawezi kuongoza, kama unashindwa kumshawishi mtu mmoja awe na sera sahihi, unaweza vipi shauri mamilioni kufuata sera zako?

Kama alishindwa kama Mtendaji mkuu wa serikali kufanya hizi porojo anazodai sasa hivi sidhani kama ana kipya.
 
hakuna kitu nachotamani kama hiki

lowasa akatwe na kamati kuu


baada ya kukatwa ahame ccm na wapambe wake woote


akishahama ccm kiparanganyike


kuanzia hapo tusiwe na chama tawala kibabe tena kama ca ccm

kuanzia hapo chama chochote cha upinzani kichukue nchi na kuanzia hapo tuwe tunabadilisha chama kinachotawala kama kenya

kila chama kikiingia madarakani kiwe macho kwani muda wowote kinaweza pigwa chini.


natamani ccm itoke madarakani

wewe mnafiki unajificha kwenye kivuri cha nyumba ya jirani kumbe wewe ni timu mafisadi timu lowasa.mwaka huu mtajua nani ameshika dora na nyie mmekumbatia vifurushi vya hera tuone nani mwenye nguvu

 
We mbona una ukimwi hujisemi au unajiona mzima..huyo ndo Rais na mjadala umefungwa...itafahamika tu

Mkuu sijakataa kama siyo rais, mi nimesema nilichokiona baasi, haina sababu ya kurushiana maneno bure hapa
 
Umekula hela nyingi sana ya ccm, na kama unashabikia kwa ushabiki tu, kwa sasa unatakiwa kuwa ICU ya wagonjwa wa akili.
Jinga sana wewe, Sijawahi kula hata senti tano ya CCM, ila nasukumwa na mapenzi binafsi kwa chama pamoja na ukweli kuwa CCM ndio chama makini kuliko vyote TANZANIA, licha ya mapungufu madogo madogo yanayojitokeza hapa na pale! Ila CCM haina Mbadala kwa sasa, Wengine ni wasaga sumu tu!
 
Ni kweli kabisa Mkuu, sijaona namna gani chama changu cha CCM kitakavyoanza kumuondoa LOWASA.

Mtaendelea kujipa sana mwaka mamvi anahangaika bure.
IKULU SIYO PANGO LA MAFISADI
IKULU SIYO WODI YA WAGONJWA
Chama cha baba yangu kimevamiwa na vibaka na mafisadi -Makongoro Nyerere


 
Jinga sana wewe, Sijawahi kula hata senti tano ya ccm, ila nasukumwa na mapenzi binafsi kwa chama pamoja na ukweli kuwa CCM ndio chama makini kuliko vyote TANZANIA, licha ya mapungufu madogo madogo yanayojitokeza hapa na pale! Ila CCM haina Mbadala kwa sasa, Wengine ni wasaga sumu tu!

Lakini za Lowasa unakula kila siku
 
Mutimueni, mwachani mpitisheni awe mgombea . mwaka huu hatudanganyiki. TUNAKWENDA NA UKAWA. tumechoka kubadilisha mashati

hatuwezi kumpitisha mtu hawezi kuonge anabwabwaja tu jiulize mikutano yote alikuwa anaita vyobo vya habari na waandishi wa habari walivyo waajabu kabisa wanampamba umesikia nini cha maana anachokiongea.
 
mtu mwenyewe akili yake ni sawa na robo gb, hana anachokionge atatuabisha kwenye midahalo maana hana uwezo wa kupambana na SLAA,
ITAKUWA AIBU KWA CHAMA NA WANACCM WAKATI SLAA ANAPAMBANUA SERA YEYE ATAKUWA ANAONGEA TAKATAKA ZAKE KAMA ANAONGEA NA WATOTO WA CHEKECHEA
 
najiuliza hivi kuna msomi anaweza kwenda kumsikiliza lowasa kwenye midahalo au kwenye majukwaa ya siasa kwa udaifu alionao wa kuonge pumba tupu.
 
Back
Top Bottom