CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Kwa matokeo haya wakulaumiwa ni kamati kuu ya cdm na secretariat nzima ya cdm. Walifanya maamuzi ya jazba sana kuwafukuza udiwani wakina Chagulani matokeo yake ndio haya kupoteza uongozi wa halmashauri hii muhimu sana sana, bila kupepesa macho lawama ziende kwa Dr Slaa. Sasa hii yaonyesha nguvu za cdm mwanza ndio zitakuwa zimepungua hivyo na hii yaweza kukidhoofisha chama chetu, tujifunze kwa hili la mwanza na tusirudie makosa tena kama hayo.

Hakuna uozo utavumiliwa mkuu. Kamati Kuu ya CHADEMA unaifahamu vyema au unaisikia? Hawafanyi maamuzi ya kukurupuka with no fact on the ground. Mtu yeyote ambaye anataka kutimiza malengo na nia za CCM kupitia CHADEMA hawezi kuvumiliwa. Lazima wananchi waone tofauti kati ya vyama hivi. Moja ya malengo makubwa sana ya Chama Cha Mabwepande kwa sasa ni kutaka kuonesha kuwa wanaotaka kuwaondoa madarakani (for this case CHADEMA) eti hawana tofauti na wao walioshindwa kuongoza. Mikakati huu hauwezi kuacha uranyl kazi kwa kuruhusu wachache wasiokubali kufuata katiba, kanuni, taratibu na miongozo ya taasisi.

Maamuzi ya kumvua mtu uanachama hufanywa na vikao, tena kumvua uanachama mtu ambaye ni diwani, ndani ya CHADEMA iiko very complicated hujawahi kuona. Mpaka kufikia uamuzi huo KAmati Kuu iliangalia mbali na zaidi hasa kwa manufaa ya wanachama na chama chore na wananchi we Mwanza. Huwezi kupoteza ufisadi aw wanachama na wapenzi makini eti kwa sababu ya hila za CCM walizofanya kwenye uchaguzi we kumpata Meya mwingine aw magumashi. This another Arusha in the making. Unaelewa natumaini Mkuu GeniusBrain.

Ufuasi utaendelea kuwepo kama chama kitaendelea kusimama na watu, kuwatetea watu, kuwaonesha sera mbadala na mikakati imara ya kuwa mabadiliko wanayoyataka yanawezekana na viongozi wa kuyaongoza na kuyasimamia wapo.

Mnaoitazama CHADEMA at individual level ure missing the whole point brothers. CHADEMA ni tumaini jipya. CHADEMA ni imani ni mwelekeo. Kwa watu wengi sana, Watanzania wengi hivi sasa ni Kama alivyosema Mwenyekiti Mbowe, juu ya kauli ya Tendwa, CHADEMA is a lifestyle. Ni sehemu ya maisha ya Watanzania wengi tu kwa sasa, mpaka hapo watakapokuwa tested on the ground, wa-prove failure or success. Ofcourse why not success Kama wakifanya utumishi kwa ajili ya watu.
 
hapo umenena. Kuna wengine kama sisi tunaendelea kutawaliwa kwa sababu ya ujinga wetu lakini likija suala la watu walio na 'malengo maalum', ndipo tunajifunza ilivyokuwa muhimu kuwafukuza hao madiwani na hata ni bora kupoteza kiti chama kikiwa na wanachama watiifu kuliko kuwa na kiti kikiwa na mamluki wasioweza hata kusimamia vision ya chama.
Nchi hii tuna matatizo mengi zaidi ya tunavyofikiri na huu ni ushahidi lakini haitakuwa sababu ya kukata tamaa maana historia itatuhukumu vibaya!


maneno ya nape hayo,aliposema ataendelea kukijenga chama hata akibaki peke yake.wananchi wa mwanza wamemsikia wanatenda kwa vitendo sasa
 
There are currently 494 users browsing this thread. (104 members and 390 guests)
acha ujinga **** wewe una-tuwekea majina ili iweje, unawatesa watu wanao tumia simu bila sababu yoyote ya msingi...
 
Chadema ilikuwa na madiwani wangapi na CCM ilikuwa nao wangapi?
 
Meya nini bwana,hana maana zaidi ya kulinda maslahi ya ccm.2subiri 2015 muisome number ya cdm.ARUSHA MBONA WANA MEYA ILA WAMECHEMSHA HAO MAGAMBA.
 
tumekubali matokeo. Twende tukajipange tena. C mwisho.
 
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

Chadema hiyo imeole..a , Chadem hiyo imeole..a , mahari imeshatolewa, mahari imeshatolewa, chadema hiyo imeole..a, chadema hiyo imeole..a, mahari imeshatolewa , mahari imeshatolewa
 
Unafiki wa dr. Slaa niambie kama 2ngekuwa na kura mbili za wale madiwani,hilo ndo anguko la cdm na bado linakuja zaid ya hiyo
 
Mkuu, naona umemua kurudi CCM ili ukale na mafisadi ! Hongera.

Watu bana, mtu akiamua kuongea nafsi yake mnasema amekuwa gamba!!!

Kwani CDM haipingwi au kurekebishwa kwa critics?!!! Acheni hizo bana!!
 
Arusha kwani tatizo ni umeya uende chadema, tunataka haki ifatwe siyo uhuni uliofanywa na CCM...

mkuu,ishu ya arusha na mwanza ni pacha wanaofanana.subiri maamuzi ya wananchi.ni suala la muda tu.
 
Chadema vipi hakuna visingizio vya kuibiwa kura au wamechakachua matokeo au usalama wa taifa wameingilia uchaguzi.
 
Chadema hiyo imeole..a , Chadem hiyo imeole..a , mahari imeshatolewa, mahari imeshatolewa, chadema hiyo imeole..a, chadema hiyo imeole..a, mahari imeshatolewa , mahari imeshatolewa
Umeolewa! angalia usije ukaliwa 0713...
 
Back
Top Bottom