Asante kwa taarifa hizi ingawa si nzuri kuzisikiaMgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
Naibu meya ni chama kipi kimeshinda?Tupe basi matokeo kamili ya kura za Umeya.
Kawasalimie kuzimu pamoja na magamba yako.
Hivi kusimamia sheria na kanuni za chama ni udikteta?Nidhamu gani wewe zaidi udikteta tu.
Akili yako ni ndogo sana mafisadi wapo mpaka Chadema na Zitto ni one of them, ni afadhali ya mtu anayeshabikia CCM na akawa muaminifu na mtiifu kwa CCM kuliko kuwa chama kimoja na mtu wa aina ya Zitto Kabwe, jana yeye anatangaza anataka jana Urais leo chama chake kinapigwa mweleka, hivi huo Urais unaopatikana bila ya kuwa na chama imara kwanza ni wa TFF au ni wa nchi!?Mkuu, naona umemua kurudi CCM ili ukale na mafisadi ! Hongera.
chadema ni zaidi ya umeya mkuu kw hyo nidhamu ni muhimu katika taasisi yoyote kwa mstakabali mpanahaya ni matokeo ya udikteta wa slaa na wenzake.kidumu chama cha mapinduzi
dr slaa vipi hajazimia kwa aibu?
Mkuu, hakuna madhambi yaliyofanyika bali ni utekelezaji wa sheria na kanuni za chama.Hasira za nn mkuu, ndio demokrasia tumeisha umizwa tukae chini tujipange upya , madhambi ya maamuzi ytu ndio yametumaliza
Mkuu naunga mkono hoja mia kwa mia huo ni ukwel mchunguAkili yako ni ndogo sana mafisadi wapo mpaka Chadema na Zitto ni one of them, ni afadhali ya mtu anayeshabikia CCM na akawa muaminifu na mtiifu kwa CCM kuliko kuwa chama kimoja na mtu wa aina ya Zitto Kabwe, jana yeye anatangaza anataka jana Urais leo chama chake kinapigwa mweleka, hivi huo Urais unaopatikana bila ya kuwa na chama imara kwanza ni wa TFF au ni wa nchi!?
Nasema tena nawapongesza sana CCM kwa ushindi huu na wajiandae kwa ushindi zaidi mpaka pale Chadema itakapogunduwa kama inafuga kansa yenyewe ndio itazinduka kutoka usingizi.
Naheshimu uhuru wako na msimamo wako kisiasa although to a bit unayumba.Akili yako ni ndogo sana mafisadi wapo mpaka Chadema na Zitto ni one of them, ni afadhali ya mtu anayeshabikia CCM na akawa muaminifu na mtiifu kwa CCM kuliko kuwa chama kimoja na mtu wa aina ya Zitto Kabwe, jana yeye anatangaza anataka jana Urais leo chama chake kinapigwa mweleka, hivi huo Urais unaopatikana bila ya kuwa na chama imara kwanza ni wa TFF au ni wa nchi!?
Nasema tena nawapongesza sana CCM kwa ushindi huu na wajiandae kwa ushindi zaidi mpaka pale Chadema itakapogunduwa kama inafuga kansa yenyewe ndio itazinduka kutoka usingizi.
Hasira za nn mkuu, ndio demokrasia tumeisha umizwa tukae chini tujipange upya , madhambi ya maamuzi ytu ndio yametumaliza
Kweli Dr Slaa anawanyima watu usingizi!