Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,326
Control ur emotions bro, hakuna anayekuzuiya kuceleblety ushindi wa CCM lakini sidhani kama uko sahihi kuhusisha ukoo wangu kwenye thread hii, na sijikii raha kwa Member mchanga kama wewe mabaye bado upo kwenye stage ya kujifunza kupost nikusababishie ban.hao wote uliowataja wana akili mara laki 5 kuliko wewe na ukoo wako.
Jiangalie, furaha yako isije kugeuka karaha, huu ni mzinga wa nyuki sasa sijui kama unaukumbatia kwa makusudi au kwa kutokuja, usije kusema i didn't warn you.