Control ur emotions bro, hakuna anayekuzuiya kuceleblety ushindi wa CCM lakini sidhani kama uko sahihi kuhusisha ukoo wangu kwenye thread hii, na sijikii raha kwa Member mchanga kama wewe mabaye bado upo kwenye stage ya kujifunza kupost nikusababishie ban.
Jiangalie, furaha yako isije kugeuka karaha, huu ni mzinga wa nyuki sasa sijui kama unaukumbatia kwa makusudi au kwa kutokuja, usije kusema i didn't warn you.
Una njaa kali sana. Mshtue Nepi akusaidie jero.Maamuzi ya kitoto ya Slaa ndio yanaimaliza CDM.
So what????Pamoja na tambo nyingi za Dr Slaa hatimaye chama chake kimebwagwa vikali na maasimu wao CCM ktk uchaguzi wa Umeya Mwanza
Una njaa kali sana. Mshtue Nepi akusaidie jero.
Umeya umeenda CCM kwa sababu viongozi wa CHADEMA ni madikteta. CCM ahufukuzwi unajitoa mwenyewe.
matolaaa! Acha vitisho mkuu,soma vizuri post yako ndio utaelewa kwa nini nimekwambia ivo.zito mmoja ni sawa na nusu ya watanzania ukiwamo wewe,hamad mmoja ni sawa na arusha na moshi,kafulila ni sawa kanda nzima ya ziwa,sasa wewe apo kwa ukoo wako si unamezwa mkuu?samahani kama nimesema ukweli
Tunasubiri tamko la Mnyika.
Tunajipanga wapi tumejikwaa
Tarehe 2 october Jaji chande atatimiza alichotumwa na JK.Bado arusha ndio mtaisoma namba vizuri
Elimu ya ufisadi ... ha ha haaa siitaki.acha kejeli,ccm ni mwalim wa siasa hapa tanzania,tulia upate elimu
matolaaa! Acha vitisho mkuu,soma vizuri post yako ndio utaelewa kwa nini nimekwambia ivo.zito mmoja ni sawa na nusu ya watanzania ukiwamo wewe,hamad mmoja ni sawa na arusha na moshi,kafulila ni sawa kanda nzima ya ziwa,sasa wewe apo kwa ukoo wako si unamezwa mkuu?samahani kama nimesema ukweli
The most s.t.u.pid comment but which sums up what ccm is all about! Mtu awe mwizi, incompetent na afanye all the don't s in the book na ASIFUKUZWE hadi aamue kuondoka mwenyewe!!! Give me dictatorship any day, and I will gladly accept it!
Akili yako fupi kama kijiko cha pilau la asubuhi.
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
Acha utoto wa kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums