Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Mzimu wa Chagulani na Matata wazidi kuitafuna Chadema.
Naona umevujisha heading ya gazeti la UHURU kesho jumamosi!
Mzimu wa Chagulani na Matata wazidi kuitafuna Chadema.
Sisi CCM huwa tuna Balaza la maadili kisha mtu anapigwa yellow kadi baadaye ban ya mda fulani alafu anajifunza tunaendelea.
Wewe kosa moja tu red jadi hata Mungu hafanyi hivyo.
Hiyo dhambi aliyoifanya Padri itamgharimu miaka 12 na nusu.
we saizi yako ni balozi wa ccm wa nyumba kumi.tulia mabula akufundisheni siasa hapa mwanza muache kupigana hadi mbunge anajificha kwenye uvungu wa meza.
Tuko radhi kupoteza hata jimbo kuliko kuwa na viongozi wasio waadilifu ndani ya chama.
Unadhani kwa nini yanaitwa maamuzi magumu???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nje ya mada.Akili yako inajieleza, so hakuna ajabu kuwa na mtazamo huo ulio nao. In case your mental capacity will allow you to; jiulize swali hili: Unahitaji kukamatwa wizi mara ngapi ili ustahili kwenda jela?
Nje ya mada.
Umeipata lakini ni ngumu kumeza?
Mmeshajivua gamba???Kama mlikuwa mnayajua hayo kilichompeleka Dr Slaa Mwanza ni nini, unaleta hadithi ya sungura.
Yaani Stan Mabula tapeli na mjinga namna ile ndiye Mayor wa Jiji la Mwanza?!
Kuna Members humu nadhani ni wakuignore, inaonesha wanatafuta umaarufu rahisi kupitia kwa Members wengine mimi sitojishughulisha nao, siku zinavyokwenda nao watakomaa na watajuwa namna ya kushiriki kwenye mijadala ya hapa na tofauti za umri tulionao licha ya kwamba hatuonani.
Back to topic, naomba kwa mwenye uwezo wa uchambuzi wa kisiasa anielimishe, matokeo haya ya madiwani 11 kumpigia kura mgombea wa CCM yanaisaidia lolote CCM kuwin mioyo ya Mamilioni ya wakazi wa Mwanza?
Kwa sababu kwa taratibu za wenzetu majiji kama London Meyer anachaguliwa na wananchi wote, lakini hapa ninachokiona kwetu Mamilioni ya wananchi wananyangwa haki yao na kukasmiwa kwa kigenge cha watu 19 tu eti ndio wachaguwe Meyer!!
Mnaonaje kuelekea maoni ya katiba mpya tupate mameya wanaochaguliwa moja kwa moja kwa Wananchi? hapa siongei hivi kwa sababu CCM imeshinda hapana. CCM ina Rais na ndio mamlaka ya nchi, kushangilia kuwa na Meya ni kujitowa akili pasipo sababu, lakini mawazo yangu utaratibu huu ubadilike na maamuzi yarudishwe kwa wananchi.
Nakubaliana nawe. Watu wa aina hii ndio Lowasa anaweza kufanya nao kazi. Mke wa Mabula ndie DC wa wilaya ya Butiama sasa.Halafu baada ya hapo Lowassa 2015 ni raisi.
Mkuu baada ya Jiji la Mwanza kugawanywa katika halmashauri mbili, Nyamagana ndiyo imekuwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, huku Ilemela ikiwa Halmashauri ya Manispaa ya...hivyo tunachosubiri ni uchaguzi mmoja, mwingine umeshafanyika. Zilikuwa mbili tu. si tatu kama ambavyo inaweza kuonekana kwenye sentensi zako Mkuu Njowepo. Usiogope. Tuko na watu.
Kweli kabisa mama,japo inaniuma kishenzi.Dk. Slaa alifanya makosa ya kuwafukuza madiwani wa chadema wawili kabla ya uchaguzi.... ona sasa matokeo ndio hayo.
fear not.
The struggles aluta continua.