CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

MODS ; Hii thread msije kuichakachua na kuiunganisha na zingine kwani zile ni za matokeo na hii ni hali halisi ilivyo mwanza hizi sasa

Ndugu wana JFKama mlivyo kwisha sikia katika mitandao ya kijamii na vyombo mbali mbali vya habari, cdm wamebwagwa kwa ushindi wa sunami na ccm kwenye kiti cha meya wa jiji la mwanza ambacho ndio muhimu kuliko hata kile cha ilemele ambacho kitatoa mwenyekiti wa manispaa. Kwa hali ilivyo hivi sasa haya ndio yaliyotoke na yanayo endelea kutokea:

1. baada tu yakutangazwa matokeo ndani ya ukumbi wa uchaguzi, dr Slaa ambae alikuwapo wakati wa uchaguzi alionekana ni mwnye huzuni na simanzi kubwa , na hakukaa tena bali aliondoka haraka. Hata waandishi wa habari walikuwa wanamtafuta wamuhoji hakuonekana tena, sasa sijui ni aibu yakushindwa ama lipi.

2. baada ya matokeo kutangazwa vifijo na nderemo vilikuwa vingi kiasi cha kwamba watu walikuwa hawasikilizani kabisa. Na hapo basi , sherehe za ushindi zilihamia mpaka nje na kusambaa katikati ya jiji la mwanza na kufanya shughuli nyingine kusimama, mpaka sasa shughuli zimesimama na sherehe zimetapakaa mji mzima huku foleni za magari zikiwa ndefu.

3. meya mteule wa jiji la mwanza anategemewa kuongea na wananchi wa jiji kutoa shukrani zake na imani yake yakulitumikia jiji hili kwa weledi mkubwa na uliotukuka

Kwa sasa ni hayo tu, ntawaletea kitakacho jiri zaidi.

CHADEMA wamchunguze Mabula tangu enzi zile za NSTI. Atakuwa kadanganya vitu vingi tu.
 
Kwa matokeo haya wakulaumiwa ni kamati kuu ya cdm na secretariat nzima ya cdm. Walifanya maamuzi ya jazba sana kuwafukuza udiwani wakina Chagulani matokeo yake ndio haya kupoteza uongozi wa halmashauri hii muhimu sana sana, bila kupepesa macho lawama ziende kwa Dr Slaa. Sasa hii yaonyesha nguvu za cdm mwanza ndio zitakuwa zimepungua hivyo na hii yaweza kukidhoofisha chama chetu, tujifunze kwa hili la mwanza na tusirudie makosa tena kama hayo.

Umevua gamba mkuu?au unasherehekea msiba kiaina?
 
Yaani Stan Mabula tapeli na mjinga namna ile ndiye Mayor wa Jiji la Mwanza?!
Mkuu unashangaa kitu gani hapo au umesahau sifa za uongozi kwenye chama chetu siku ni zipi? Ujiulizi anakatwa jina Deo Fulikunjombe halafu Lowasa na Chenge wanapeta? kama ulikuwa unadhani Duniani kuna maajabu 7 peke yake basi ujuwe Tanzania ni ajabu la 8.

Ndio maana mimi mpaka leo nimegoma kuupigia kura Mlima Kilimanjaro kwenye New 7 world wonders kwa sababu Tanzania yenyewe ni ajabu tosha kwahiyo hakuna sababu ya kupigia kura Mlima anayetaka kuprove aje ajionee mwenyewe.
 
Ndugu wana JFKama mlivyo kwisha sikia katika mitandao ya kijamii na vyombo mbali mbali vya habari, cdm wamebwagwa kwa ushindi wa sunami na ccm kwenye kiti cha meya wa jiji la mwanza ambacho ndio muhimu kuliko hata kile cha ilemele ambacho kitatoa mwenyekiti wa manispaa. Kwa hali ilivyo hivi sasa haya ndio yaliyotoke na yanayo endelea kutokea:
1. baada tu yakutangazwa matokeo ndani ya ukumbi wa uchaguzi, dr slaa ambae alikuwapo wakati wa uchaguzi alionekana ni mwnye huzuni na simanzi kubwa , na hakukaa tena bali aliondoka haraka. Hata waandishi wa habari walikuwa wanamtafuta wamuhoji hakuonekana tena, sasa sijui ni aibu yakushindwa ama lipi
2. baada ya matokeo kutangazwa vifijo na nderemo vilikuwa vingi kiasi cha kwamba watu walikuwa hawasikilizani kabisa. Na hapo basi , sherehe za ushindi zilihamia mpaka nje na kusambaa katikati ya jiji la mwanza na kufanya shughuli nyingine kusimama, mpaka sasa shughuli zimesimama na sherehe zimetapakaa mji mzima huku foleni za magari zikiwa ndefu
3. meya mteule wa jiji la mwanza anategemewa kuongea na wananchi wa jiji kutoa shukrani zake na imani yake yakulitumikia jiji hili kwa weledi mkubwa na uliotukuka

Kwa sasa ni hayo tu, ntawaletea kitakacho jiri zaidi.

MODS ; Hii thread msije kuichakachua na kuiunganisha na zingine kwani zile ni za matokeo na hii ni hali halisi ilivyo mwanza hizi sasa

Duh... kweli wewe ni gamba uliyebobea katika upotoshaji.
 
Duh, bado Magamba mlisomba watu kwa Fuso kuja kusherehekea ushindi wa Umeya? Muulizeni Mwigulu mnavyomtia hasara kwa kuhonga watu namna hiyo. Pia, ni Tsunami gani hiyo ya tofauti ya kura 3? Ama kweli, Magamba mlikuwa hoi, yupo GAMBA moja la Kanda ya Ziwa lilihonga mil. 30 kusaka Ubunge likaambulia kura 3. Ratio hapa ilikuwa ni Tshs 10m/= per 1 vote! Sasa kwa Umeya nadhani ratio ilikuwa 10 times more than this! Poleni.
 
Ndugu wana JFKama mlivyo kwisha sikia katika mitandao ya kijamii na vyombo mbali mbali vya habari, cdm wamebwagwa kwa ushindi wa sunami na ccm kwenye kiti cha meya wa jiji la mwanza ambacho ndio muhimu kuliko hata kile cha ilemele ambacho kitatoa mwenyekiti wa manispaa. Kwa hali ilivyo hivi sasa haya ndio yaliyotoke na yanayo endelea kutokea:
1. baada tu yakutangazwa matokeo ndani ya ukumbi wa uchaguzi, dr slaa ambae alikuwapo wakati wa uchaguzi alionekana ni mwnye huzuni na simanzi kubwa , na hakukaa tena bali aliondoka haraka. Hata waandishi wa habari walikuwa wanamtafuta wamuhoji hakuonekana tena, sasa sijui ni aibu yakushindwa ama lipi
2. baada ya matokeo kutangazwa vifijo na nderemo vilikuwa vingi kiasi cha kwamba watu walikuwa hawasikilizani kabisa. Na hapo basi , sherehe za ushindi zilihamia mpaka nje na kusambaa katikati ya jiji la mwanza na kufanya shughuli nyingine kusimama, mpaka sasa shughuli zimesimama na sherehe zimetapakaa mji mzima huku foleni za magari zikiwa ndefu
3. meya mteule wa jiji la mwanza anategemewa kuongea na wananchi wa jiji kutoa shukrani zake na imani yake yakulitumikia jiji hili kwa weledi mkubwa na uliotukuka

Kwa sasa ni hayo tu, ntawaletea kitakacho jiri zaidi.

MODS ; Hii thread msije kuichakachua na kuiunganisha na zingine kwani zile ni za matokeo na hii ni hali halisi ilivyo mwanza hizi sasa

Hii tabia ya kuwafundisha ma MODS kazi sijui inatoka wapi. Unaleta thread kuhusu jambo lilelile la uchaguzi wa Meya then unataka uzi mpya?
 
Ndugu wana JFKama mlivyo kwisha sikia katika mitandao ya kijamii na vyombo mbali mbali vya habari, cdm wamebwagwa kwa ushindi wa sunami na ccm kwenye kiti cha meya wa jiji la mwanza ambacho ndio muhimu kuliko hata kile cha ilemele ambacho kitatoa mwenyekiti wa manispaa. Kwa hali ilivyo hivi sasa haya ndio yaliyotoke na yanayo endelea kutokea:
1. baada tu yakutangazwa matokeo ndani ya ukumbi wa uchaguzi, dr slaa ambae alikuwapo wakati wa uchaguzi alionekana ni mwnye huzuni na simanzi kubwa , na hakukaa tena bali aliondoka haraka. Hata waandishi wa habari walikuwa wanamtafuta wamuhoji hakuonekana tena, sasa sijui ni aibu yakushindwa ama lipi
2. baada ya matokeo kutangazwa vifijo na nderemo vilikuwa vingi kiasi cha kwamba watu walikuwa hawasikilizani kabisa. Na hapo basi , sherehe za ushindi zilihamia mpaka nje na kusambaa katikati ya jiji la mwanza na kufanya shughuli nyingine kusimama, mpaka sasa shughuli zimesimama na sherehe zimetapakaa mji mzima huku foleni za magari zikiwa ndefu
3. meya mteule wa jiji la mwanza anategemewa kuongea na wananchi wa jiji kutoa shukrani zake na imani yake yakulitumikia jiji hili kwa weledi mkubwa na uliotukuka

Kwa sasa ni hayo tu, ntawaletea kitakacho jiri zaidi.

MODS ; Hii thread msije kuichakachua na kuiunganisha na zingine kwani zile ni za matokeo na hii ni hali halisi ilivyo mwanza hizi sasa

Dr Slaa hayupo Mwanza toka jana jioni, huyo wa leo umemtoa wapi huko kwenye ukumbi wa uchaguzi jiji?. Mimi niko Mwanza hata sasa, toka maeneo ya barabara ya Nyerere mpaka soko kuu, stand ya zamani, na miti mirefu mbona hatuoni hizo sherehe?,au mko wapi kwenye hizo sherehe kubwa tuje kujumuika na washindi.
 
Chadema tunaipeleka hapa

images

R.I.P Chadema.
 
Nchi hii sasa ni ya matapeli na wezi kila kona! Namwonaga kwenye Tv yule Mayor wa JIji la London anavyowajibika hadi naona wivu. KATIBA MPYA ijayo ma-Mayor wachaguliwe moja kwa moja na WANANCHI. Tabia ya sasa ya Mayor wa JIji kubwa kama la Mwanza kuchaguliwa na watu 11 tu ni AIBU.
 
Back
Top Bottom