Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Nape ametumia pesa za walipa Kodi kupata ushindi, kama huamini uliza wapiga kula wamepewa tsh ngapi na ukijua endelea kusifu maana unaweza ukazimia.
Ha ha ha!sawa....kingine....?
Asante kwa Taarifa!! CCM ni Baba lao na kitaendelea kuwa hivyo MILELE!!!
Na wewe je?we ni ke au me.?
Mkuu unamaanisha Pill au...?Hizi ndizo gharama za demokrasia. We have to swallow the pit although it is bitter.
Hamna aibu siku Zote reference yenu ni Arumeru??? Uwanja wa nyumbani???kwa kushinda umeya!!!!!!!!!!!!!!!!!!! you must be joking tena kwa nape kukaa siku tatu akizungukia wapiga kura 11 ni aibu subiri kuna uchaguzi wa madiwa 29 nchi nzima ndiyo kipimo sahihi, aliyeshinda arumeru atasemaje???
KWa kweli hata cjakuelewa....kwa ufui nimechokaHivi wapiga kura wa kuchagua udiwani ni madiwani au wanancchi wa kawaida,na kama ni madiwani, ccm ina madiwani wangapi, chadema wangapi na cuf wangapi.
Unaongelea umma upi?Hiyo ni short term strategy haitawasaidia.wanachatakiwa ccm wajitathmini ni kuangalia kama umma uko upande gani!!! kama cdm wanao umma wa mwanza it wont work for ccm
Pinda alipoenda mwanza aliwazomea wanamwanza, saa hz atakuwa amefarjka ziara yake imelipa