CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

Jasusi,

Chadema isukufanye mpaka ukawatukana wazee wako.

Mkuu Ritz mimi ni ccm damu ila kwa alichokifanya Bulembo ni tendo ovu kabisa, hakika tumamiss Julius Nyerere
 
Hivi punde nimemsikia m/kiti wa jumuiya ya wazazi CCM alihaji Majura Bulembo akidai kuwa maandamano yaliyotangwaza na CDM kufanyika ktk miji minne tar. 25 mwezi huu kudai kujiuzulu waziri wa elimu yanapaswa kuanzia Moshi. Kwa maelezo kuwa huko ndiko kwenye watoto na jamaa za wana-CDM. Badala yake eti maandamano yametajwa kufanyika katika miji mingine ili watoto na jamaa zao(wana - CDM) wasipate madhara. Je ni sahihi Bulembo kuitaja CDM kama chama watu wa Moshi? Nijuavyo mimi CDM ni cha watanzania wengi ktk mikoa yote ya Tz. Wanajamvi naomba kusahihishwa endapo nimekosea. Source: taarifa ya habari ITV

inawezekana kwasababu kama sijakosea mwanzilishi wa CHADEMA ni mchaga.
 
BONGOLALA,

Mbona Chadema wameishawagawa Watanzania siku nyingi tu.

Kuna Chadema Kanda ya Ziwa.

Kuna Chadema Kanda ya Kusini.

Kuna Chadema ya wenye chama Kanda ya Kaskazini.
mkuu unalipwa nini kutetea upuuzi?hembu tafakari mkuu madhara yatakayotekea kwa siasa za ccm
 
Malema,

Wewe ni Chadema gani? Kanda ya Ziwa au Kanda ya Kaskazini au Kanda ya Kusini.

Lakini hapa hebu tuondoe mambo ya uchama na ushabiki.......kuwa mkweli.......alichosema huyo Bulembo ni sahihi.....?
 
mkuu unalipwa nini kutetea upuuzi?hembu tafakari mkuu madhara yatakayotekea kwa siasa za ccm

Wewe ukiokosoa CCM sawa mie nikiikosoa Chadema naambiwa nalipwa.

Wewe unalipwa kiasi gani na Chadema.

Mimi binafsi kuwagawa watu kimajimbo naona ni kuwagawa Watanzania.

Hizo ndiyo fikra zangu.
 
Tusiwalaumu ccm kwa kauli hzo bali tuwalaumu watanzania wote walioichagua ccm
 
Kuna kichekesho kimoja sikujua aliyekiandika alimanisha nini.

Jamaa alitaka kumkamata mtu anayekunywa wine/pombe yake kisha anajazia maji. So siku moja houseboy wake alitegwa na kupatikana na maongezi yakawa hivi;
Baba: john,
Houseboy; naam boss;
Baba: nani kanywa wine yangu kisha kajazia maji?
House boy akakaa kimya. Alipoitwa tena akaitika lakizi hakujibu swali.
Baba mwenye nyumba akamuita sebuleni akamwambia mbona hunijibu? Houseboy akamwambia ukiwa jikoni husikii chochote zaidi ya kuitwa jina.

Baba mwenyenyumba akasema naenda jikoni kaa na mamaa sebuleni uulize swali uone kama sitakujibu. Maongezi yaka hivi:
Houseboy: boss, boss
Baba: yes John(houseboy)
Houseboy: nani huwa anaingia chumba cha dada usiku wakati mama hayupo?
Baba akakaa kimyaa. Baadae boss akarudi sebuleni akasema ni kweli ukikaa jikoni husikii chochote zaidi ya jina.

Je hivi ni kweli mtu akiingia ccm anasikia jina tu asikii chochote?

Hivi ni kweli hata uwe proffessor ukishaingia ccm akili yako inakua ndogo kuliko ya mtoto wa chekechea?


Nimejaribu kuangalia hoja za mawaziri, wabunge na watu wengine walikua wazuri sana kabla ya kuwa ccm but sasa hivi hoja zao hazina mashiko.

Tumeona kina shoza na wengine wameingia tu ccm wameharibika sio hoja tena ni matusi tu kulikoni?

Huko jikoni kuna siri gani unasikia jina tu?
 
Lakini hapa hebu tuondoe mambo ya uchama na ushabiki.......kuwa mkweli.......alichosema huyo Bulembo ni sahihi.....?

Bulembo alichosema siyo sahihi ndiyo siasa zetu za kimagumashi zilivyo.
 
Malema,

Wewe ni Chadema gani? Kanda ya Ziwa au Kanda ya Kaskazini au Kanda ya Kusini.

hukatazwi kuandika! ila CHADEMA ni moja na tunaunganishwa na uzalendo wetu wa kuwakomboa watanzania kutoka katika siasa chafu za kishabiki na wizi wa rasilimali za umma za chama cha mapinduzi!
 
Hiyo kauli imenisikitisha sana! Kwa nini watugawe kwa ukabira wakati sisi ni wamoja?

me wakati wa sikukuu ijayo ya xmas nitakapoenda home/moshi itabidi nihamasishe maandamano ya upendo na kuonyeshana umwamba nani kavuna zaidi huko alikotoka.si anataka maandamano Moshi?mbona tutawaonyeshea soon just wait and see!!
 
Bulembo alichosema siyo sahihi ndiyo siasa zetu za kimagumashi zilivyo.

kumbuka Bulembo ni mtu muhimu sana katika chama, je ni sahihi kuendelea kuchagua chama chenye makada wafu kama bulembo? Hizi ni dalili tosha kabisa za utawala ulioukingoni kuanguka!
 
Nimelisikia hilo jamaa nikataka kurusha ngumi kumbe ni TV......hivi mtu mzima mwenye akili timamu unawezaje kusema hivyo...........
Nani alisema Bulembo ana akili timamu? ingekua ulifuatilia kampeni za Ccm mwaka jana ungemjua alivyo!
 
Sasa kwanini akina chami, mrema, kimaro aloyce,nk wanasubir nin?Au wao ni wapare?Je na wapare nao ni chagaz?Mana wako kilimanjaro! Akina Maghembe, david mathayo,anne , nk wote hawa wanatokea kmj sasa wamechokwa na ccm, mana wao ni cdm, uf*ck huu!
 
Hujakosea mkuu Taaluma Makini, CHADEMA ni chama cha watu wa Moshi/Kilimanjaro.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


Wewe si muda mrefu utapew mimba make sasa hivi mnaongea upumbavu mtupu

Mnawagawa watanzania ili iwe rahisi kuwadanganya,mumewagawa kwa udini,saa hivi mnawagawa kwa ukabila tena?

Bulembo nimeamini kabisa hakuna yeyote iliyeko ccm mwenye akili timamu wooote wanafikiria masaburi kuanzia wasagalami sumu hadi wakina bulembo hamna akili upumbafu mtupu kwa kiongozi wa jumuiya kubwa kama hiyo kuongea utoko kama huo,hata waliomchagua nao akili zao ziko vilevile

Ila wamemuiga Jerry aliyewaambia ukiwatukana upinzani unapanda cheo ndani ya ccm kama mwigulu na wasira ambaye miaka 50 ya uhuru BUNDA hakuna maji halafu anatamba kwamba ni Tyson wa kutukana wapinzani wakati jimboni kwake hamna madarasa,madawati watoto wanakaa nje hivi bunda sijui wana akili gani kumpa mtu kama huyo siku zooote hizo ila najua hatapata tena ubunge bunda na ndio viongozi wenye akili kama za Bulembo

Kwenye mkutano badala ya kuongea utawasaidiaje wananchi kutatua matatizo yanayowakabili na shida walizonazo mnakazi ya kuwatukana Chadema ndio hoja hizo mnazojenga au ni akili mbovu?

Hakuna kiongozi yeyote wa ccm atakaekwenda kwenye mkutano akaongealea matatizo ya Watanzania wao ni kuporomosha matusi kwa chadema kimewaziba akili hakuna mnchofikiri akilini kwenu ni kutunga namna ya kuchafua CdmChama kubwa eleweni chama kiko mioyoni mwa wananchi sio kubeba kaddi ndio ujione ni mwanachama wa chama fulani mmekwisha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz mimi ni ccm damu ila kwa alichokifanya Bulembo ni tendo ovu kabisa, hakika tumamiss Julius Nyerere

Bulembo hana akili fuatilia watu wa karibu nae akiwa Musoma ni mtu mbaya ana majungu kama mchawi we peleleza tu watu aliowahi kuwa nao karibu au kufanya nao kazi ni jitu lenye roho mbaya kinoma halafu ima majungu ya kufa mtu

Hata waliomchagua sijui walikosa watu wa kuchagua poleni sana histori yake iko Musoma hamumjui nyie
 
Back
Top Bottom