CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

Hivi kuna uhusiano gani kati ya CCM na zezeta?
Nashindwa kutofautisha haya mawili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe

wakuu naona hapa watu wanajaribu kuhalalisha hii hoja ya ubaguzi, inayofanywa na viogozi wa ccm,mimi nadhani hakuna haja ya kuwaelimisha zaidi juu ya uovu huu,sio kama hawaelewi ila wanajaribu kumtetea kiongozi wao,hamna haja ya kujibizana nao,ila majibu yetu yatakuwa mazuri zaidi 2015,na hapo ndipo watakapo jutia,kwasasahivi hawatatuelewa.
 
Huyo naye anatoka Bagamoyo nini??? Maana nauliza hivyo ni style ya mkuu wa kaya akibanwa sana anakimbilia dini kuwa wananichukia kwa sababu ya dini yangu,upumbavu mtupu!!!!!!!!!!!!!
 
Kila ninapoandika kuwa CCM ndio chanzo cha udini, ukanda na ukabila watu wanabisha!! Kwa mtu yeyote anayefuatilia siasa za Tanzania, CCM baada ya kukosa mwelekeo, imeishia kwenye siasa za kugawa Watanzania. Kwa kuwa Mwenyekiti wa CCM ni dhaifu, tatizo hili litaongezeka. Hili swala halina budi kukemewa ndani ya CCM yenyewe kwani madhara yake ni makubwa. Hapa ndipo usalama wa taifa hauna budi kufanya kazi yake bila kuangalia chama.
 
Na mimi nimemsikia nikashangaa île mbaya. Sasa sisi ambao ni CCM na tunatoka KIlly anataka tumweleweje? Kwamba Killy ni ya CHADEMA? Jamani kabla watu hajaongea wawe wanatafakari athari mbaya za matamshi yao kwa jamii.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

CCM nayo imejaa Wachagga kwani ni chama cha Wachagga? Hebu pembua wabunge wa CCM walio na asili ya UCHAGA ni wangapi?
 
Hivi kuna mtu mwenye akili aliyebaki CCM?

Mkuu vipi tena maswali ya chekechea unatuuliza sie wazee? Maana hata ukiuliza darasa zima la chekechea watakujibu kwa pamoja "Hakunaaaaaaaaa! "
 
Na mimi nimemsikia nikashangaa île mbaya. Sasa sisi ambao ni CCM na tunatoka KIlly anataka tumweleweje? Kwamba Killy ni ya CHADEMA? Jamani kabla watu hajaongea wawe wanatafakari athari mbaya za matamshi yao kwa jamii.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ndo hivyo Ccm kupitia Bulembo anasema ni zamu yenu watu wa kilimanjaro mpigwe mabomu na jeshi la polisi, yaani anathibitisha kwamba kumbe polisi ndo wauaji wakubwa kwenye nchi hii!
 
Mkuu wao ashawapa go ahead ya kutoa mihemko kama hyo thus why wanahemka tu watakavyo kila wanapoona bendera za cdm

Nasikia alipandwa na hasira kwa sababu aliambiwa chadema wamekuwa na nguvu sana pale chato na wanaungwa mkono sana na wananchi, mapokezi yake pia yalimkera kwa sabbu yalikuwa chini ya mategemeo yake, mwisho wa siku ikawa kama kafanya ziara chato kwa ajili ya Chadema
 
Hivi zile purukshan za kudai uhuru NYERERE alikua anazifanyia kwao BUTIHAMA eee nimesahau wakuu hebu nikumbusheni kdogo
 
Lawama zote kwa wachaga, wangewatosa kikweli kweli! Chadema waichukulia hii positively wawaeleze wachaga wote kuwa CCM haiwataki
 
Nikiwa kama mtanzania ambaye ninaumia na aya matukio yanayotokea sasa, huku nikiangalia taifa langu linapoelekea si kuzuri.
Nimekaa kwa wiki nzima nikitafakari na kuumia sana sana moyo wangu na kujiulizwa maswali mengi.

1.kwanini watanzania tumekuwa watu wa MATUKIO? tunaenda kimatukio sana kuanzia wananchi na baadhi ya waandishi wa habari,

2.kwanini watanzania tumekuwa hatujitambui?

3.kwanini watanzania tumesahau masuala ya maendeleo na kuipa siasa asilimia kubwa?

4.kwanini watanzania tumeiacha nchi mikononi mwa wana siasa na si wana taaluma?

Ukiangalia kwa wiki nzima tumekuwa tukiona habari za kushabikia juu ya video ya Lwakatare, kutekwa kwa Kibanda, mwisho wa siku hatupati hatma nzuri ya matukio ayo, kwa sasa tumesahau matokeo ya form 4, ambayo ni muhimu, tumesahau kule kijijini kwetu wanapokunywa maji yenye rangi ya maziwa, tumesahau ndugu zetu wanaokufa hosptalini kwa kukosa tiba sahihi.

Ninamuomba Mwenyezi Mungu atusaidie juu ya hili maana maandiko yanasema WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. naomba tubadilike, anzia na nyumbani kwako kubadirisha, tusiwe watu wa matukio yanayotufanya tusahau maendeleo.

Ni mtazamo tu.
 
Soma Zaburi Sura ya 46 yote
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama
dunia ikivunjika na milima kuanguka
katika moyo wa bahari.
Hata kama maji yake yatanguruma na
kuumuka,
milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake.
Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha
mji wa Mungu,
mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana
anaishi.
Mungu yuko katikati yake, hautaanguka,
Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Mataifa yalifanya ghasia, falme zinaanguka,
huinua sauti yake, dunia ikayeyuka.
BWANA Mwenye Nguvu yu pamoja nasi,
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Njoni na mwone kazi za BWANA
jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.
Anakomesha vita hata miisho ya dunia,
anakata upinde na kuvunjavunja mkuki,
anateketeza ngao kwa moto.
'‘Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu,
nitatukuzwa katikati ya mataifa,
nitatukuzwa katika dunia.''
BWANA Mwenye Nguvu yu pamoja nasi,
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
 
wakenya walitwangana na sasa hivi wanaheshimiana; sasa zamu yetu imekuja maana madharau yamezidi, ukitetea wanyonge tu unabinywa na kuachwa na majeraha / kilema au hata kutoa roho yako; hizi ni dalili za mbaya sana.

1. Kuchoma makanisa
2. Kuuawa kwa mapadri
3. Kuteswa / kuuawa kwa waandishi wa habari
4. Kutekwa na kuteshwa kwa watetezi wa haki za wafanyakazi

dalili za siku za mwisho za amani ya nchi yetu.
 
wakenya walitwangana na sasa hivi wanaheshimiana; sasa zamu yetu imekuja maana madharau yamezidi, ukitetea wanyonge tu unabinywa na kuachwa na majeraha / kilema au hata kutoa roho yako; hizi ni dalili za mbaya sana.

1. Kuchoma makanisa
2. Kuuawa kwa mapadri
3. Kuteswa / kuuawa kwa waandishi wa habari
4. Kutekwa na kuteshwa kwa watetezi wa haki za wafanyakazi

dalili za siku za mwisho za amani ya nchi yetu.
nimekuelewa nataka tupigane tuuwane sana mpaka kieleweke kila marefu yana mwisho nimechoka kabisa vita ijee!!
 
Mungu tuokoe sie wanao na vizazi vijavyo ..jamani wa Tz tuombe tuache starehe hizi vinginevyo nchi hii inaangamia.
 
Usishangae hapa unachokiona kwa Bulembo na makada wengine ni kiwewe na kuweweseka baada ya kuona jahazi lao linazama. Eti huyu ndio Mwenyekiti wa Taifa aliyechaguliwa na kuahidi kuishughulikia CDM kwa nguvu zote. Bht mbaya ni mpiganagaji dhaifu asiyejua hata mashambulizi yake ya kitoto aanzie wapi? Bahati mbaya anachokisema ni kiti cha zamani kuwa CDM ni chama cha kabila moja. Yeye ni shahidi ya moto (likiweko jimbo la Musoma mjini) kule kwaon ambapo Mbunge ni CDM. Kwa upeo sidhani kama hata Internet ana uwezo wa kutumia hivyo hata ujumbe huu atapelekewa na vijana wake. Pole nyingi kwa Bulembo kwa mwendo huu imekula kawo kama kamanda wa vita.
 
Naanza kuamini Hakuna maendeleo yanayokuja bila watu kumwaga damu Kama tutakaa nakuamini kuna siku mungu atarekebisha Hali hii! Tutangoja milele.
 
Back
Top Bottom