Kada wa CCM Bulembo amesema maandamano ya CHADEMA yaanzie Kilimanjaro kwanza!
Amesema kila maandamano hayafanyiki Kilimanjaro bali sehemu zingine, na waziri na naibu wa Elimu hawajiuzulu kamwe
Tusipokuwa macho hawa CCM watatugawa kikabila na tutaanza kupigana,kunyanyapaa watanzania wenzetu na watu kama wakwere ,wazanaki,wandengereko,wamakua na wamwela hawatapata uongozi wa nchi kamwe kwa sababu makabila ni madogo,CCM sasa hivi wametengeneza syndicate ya kumdharau Nyerere kumshusha hadhi na kumdhalilisha lakini ukweli kitu alichofanyia nchi yetu kizuri kulikuo yote ilikuwa ni kutuunganisha na kuondoa ukabila ,Je tumuulize Bulembo Kilimanjaro au Moshi ni Chadema peke yao au wako CCM na TLP ,NCCR iliwahi kuwa na wabunge kule jamani inadhihirisha sasa kwamba kampeni zao zinafanikiwa Kikwete alipokuwa anapokea ushindi wa mwaka 2010 alisema uchaguzi ulitawaliwa na udini akalalama kwamba ataumaliza sasa sikiliza alivyofanya
Raisi-Mwislamu
Makamu wa Raisi-Mwislamu
Jaji Mkuu-Mwislamu
Mkuu wa Usalama wa Taifa -Mwislamu
Waziri wa Ulinzi-Mwislamu
Mkuu wa Jeshi la Polisi-Mwislamu
Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu-Mwislamu
Kati ya wakuu wa mikoa -28- 19 waislamu
Matajiri Kumi wa Nchi hii-10 waislamu-1 Mkristo
Asilimia 78 ya wajumbe wa kamati kuu ya wajumbe wa CCM- waislamu
Asilimia 81 ya wajumbe wa tume ya katiba waislamu
Asilimia 66 ya wakuu wa wilaya waislamu
KIkwete ameingiza mfumo Islamu nina wasiwasi anaposema au anapotuma watu wake kusema huwa ameshaamua jambo fulani ameshatutenga kidini sasa atatutenga kikabila si mtu mwema hata kidogo kwa mustakabali wa taifa hili kiongozi mzuri angemtuma mtu akanushe maneno ya Bulembo lakini yeye anashabikia kwa sababu anataka kuwanyanyapaa wachaga bila sababu,Nape alisema hivyo hivyo kama Bulembo,Kinana alisema hivyo hivyo kama Bulmbo,Mwigulu alisema hivyo hivyo kama Bulembo Mtoto wa Kikwete yeye ndie aliyeapa kwamba Haitakaa itokee kaskazini itoe raisi ,Mtanzania mwenzangu tafakari