CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

Ccm wameshindwa kabisa kujadili matatizo yanayowakabili wananchi,wameamua kuyachukia makabila na mikoa ya watanzania
 
Slaa, Lissu, zitto, lwakatare nk hao pia ni watu wa Kilimanjaro? Katika mkoa wa Kilimanjaro kuna wabunge na madiwani wangapi wa CDM? Kama ni chama chao si wangejipa vitisho vyote vya ubunge na udiwani?
 
Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe

Kwakweli nimeshangazwa na ile kauli. Af tukisema hata udini ni wao ndio chanzo wanabisha na hapa wanazungumza habari za program ya maendeleo ya wachaga. Hana haya huyu??
 
Mkuu wao ashawapa go ahead ya kutoa mihemko kama hyo thus why wanahemka tu watakavyo kila wanapoona bendera za cdm
 
Kwakweli nimeshangazwa na ile kauli. Af tukisema hata udini ni wao ndio chanzo wanabisha na hapa wanazungumza habari za program ya maendeleo ya wachaga. Hana haya huyu??
Nimeshituka sana kwakweli sikutegemea kama jamaa huyu angeongea maneno ya ajabu na uchochezi waziwazi kiasi hiki!!!Ccm inawachukia wachaga,inawanyanyasa wachaga,inawadharau na kuwabagua wachaga!!!Wapi Saidi Mwema,wapi chagonja huu sio uchochezi wa kustahili kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi?Kwamba wachaga ni adui wa Ccm sasa mbona mwenyekiti Jakaya Kikwete hamfukuzi huyu kwenye chama au kamtuma...No ndo msimamo wa Ccm hii ni hatari nimeogopa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa
 
Hivi punde nimemsikia m/kiti wa jumuiya ya wazazi CCM alihaji Majura Bulembo akidai kuwa maandamano yaliyotangwaza na CDM kufanyika ktk miji minne tar. 25 mwezi huu kudai kujiuzulu waziri wa elimu yanapaswa kuanzia Moshi. Kwa maelezo kuwa huko ndiko kwenye watoto na jamaa za wana-CDM. Badala yake eti maandamano yametajwa kufanyika katika miji mingine ili watoto na jamaa zao(wana - CDM) wasipate madhara. Je ni sahihi Bulembo kuitaja CDM kama chama watu wa Moshi? Nijuavyo mimi CDM ni cha watanzania wengi ktk mikoa yote ya Tz. Wanajamvi naomba kusahihishwa endapo nimekosea. Source: taarifa ya habari ITV

Inawezekana tatizo ni wewe kwani unashindwa hata kutofautisha watu timamu na wale wenye mtindio wa ubongo (mataahira). Bulembo ni taahira.
 
Jiulize, kwanini wananchi hawakioni kuwa kyadema kuwa ni kyama kya mwanza, au iringa au ruvuma au mtwara au singida au bukoba?

Watu wanaokiona kyadema ni kyama kya chilimanjaro wana sababu zao. Ukitaka kuishi "in denial" unao uhuru wa kufanya hivyo, lakini chembilecho bongo fleva "haaa haaa habari ndiyo hiyo...."
 
Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe

wakuu!

Msimlaumu Bulembo. Hapo ndiyo mwisho wake wa kufikiri. Zaidi ya hapo ni PASUA KICHWA.
 
Nimelisikia hilo jamaa nikataka kurusha ngumi kumbe ni TV......hivi mtu mzima mwenye akili timamu unawezaje kusema hivyo.......kwamba maandamano hayawezi kufanyika Kilimanjaro maana familia zao zipo huko........kwa hiyo wote waliopo CDM ni wachagga nchi nzima?..........jamaa pumbavu kweli......CCM ina mabongolala yakutosha......****$¥+.....

cyo pumbaù tu pia ni chizi anaependa kucfiwa kwa ujinga. Et una umwa kichwa halafu unakunywa dawa ya ngiri? Hawa ndo wanaotunga cd za uwongo bila shaka na wametumwa na mabwana zao kuhadb watz.
 
wakati mmoja nuilikuwa moshi na nikaambiwa Moshi kuna watu wanaitwa "wapalestina'. Sikuelewa maana yake!!. Taratibu na kwa matukio haya sasa naanza kuelewa.
 
Nimeamini siasa ni ajira tosha hapa tz huyu jamaa nakumbuka mwaka 2004 tulikuwa nae alikuwa mkandarasi wa ulimaji wa barabara (anakodi mitambo) huko mkoani Mara tulikuwa tunafika sehemu tunalala kwenye gari alikuwa na gari aina ya pajero nakumbuka tulifika kijiji kimoja kinaitwa Natta tukapiga kambi pale jamaa alikuwa anapenda sana tot...........! Leo hiii siasa imemtoa!
 
Back
Top Bottom