CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

CCM yaamua kugawa watanzania rasmi!

kama nitakuwa sijakosea kwa tz mkoa wa kilimanjaro ndo wa mwisho kuipokea TANU kishingo upande na ndo mkoa wa kwanza kuitosa CCM so nadhani walishajipanga. ningumu kusikikia mabomu na maandamano huko now wanasaka chapaa tu.
 
Sitokutukana kwa sababu wewe ni mtanzania mwenzangu ambaye bado hujajitambua. Ukijitambua na kufikiri kwa kina utakuja cdm. Achana na kauli izo, km si wewe matunda ya kuikomboa tz yetu watakula wanao km si wajukuzo.

Acha ubinafsi, rasilimali za nchi zinakwisha. Leo hii ,km wewe ni msafiri unaepita mikumi mara kwa mara, utaona tofauti kubwa sana ya TEMBO ukilinganisha na miaka ya nyuma. Unamaliza 50km ya hiyo mbuga kwa either kutowaona hao tembo au kuwaona wachache sana.

Niambie ukiwa km mtz wa kawaida, umenufaika vipi na kupotea kwa hao tembo na rasilimali zilizopotea na zilizopo?

Fungua akili yako, tafakari na kisha chukua hatua mkuu.

karibu cdm au uwe mmoja wa wanamabadiliko.

Viva cdm
 
Bila shaka mwenye akili atajiuliza, kwanini MAUAJI NDAGO SINGIDA,MOROGORO,IGUNGA, IRINGA.. Kwanini isiwe KARATU au KILIMANJARO?
Kwanini kwingine kote unataja mikoa, lakini ikifika Arusha unataja wilaya, na si mkoa? Wewe una matatizo dogo. Unatakiwa kukaa chini ujiangalie juu ya kinachokusukuma kuandika haya. Usiijekuwa unaandika kwa ajili tu ya 500 unayolipwa kwa kila post unayoweka hapa.
 
Sijui mimi, nasikia tu maanadamao mara kwa mara, Nilikuwa tu nachangia mada ya kwamba kwa nini hakuna maandamo KLM, nikasema labda mleta mada ana hoja hata mimi sijawahi kusikia maadamano toka kwetu KLM inaezekana labda hatuna malalamiko!
Malalamiko tunayo,tumetaka kuiondoa ccm madarakani kwa muda mrefu sana,mikoa mingine inatuagushaa kwenye safari ya ukombozi.
 
karibu chadema,je wewe utaishi kwa kauri ipi CDM ikichukua inchi? :lying:
Hofu hauna,ila unakosa ushauri tuu,Karibu Chadema.
 
Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee

Kuna rafiki yangu alikwenda baa siku moja kujiburudisha, lakini alipofika pale alishangaa kumkuta mchungaji wake yuko pale! alimfuata na kumuuliza mchungaji unafuata nini hapa baa kuna maovu mengi hapa! Yule mchungaji kwa busara sana akamjibu" Kwa sababu ya maovu hayo ndio maana niko hapa! Hii hadithi ina uhusiano gani na uzi huu, ni kuwa CDM hawana haja ya kuandamana kilimanjaro na karatu na huko "kwao" kwingine kwa sababu huko tayari wokovu umewafikia!
 
Zuzu tupu!

Na kwa taarifa tu! Pindi upelelezi utakapokamilika chama cha kigaidi chadema kitafutwa rasmi

Kwa akili zako finyu, unafikiri CHADEMA kikifutwa, fikra za ukombozi wa taifa hili zitapotea pamoja na CHADEMA? Upuuzi tu unawaza, hakuna lolote la maana, sijui unahongwa shilingi ngapi na akina Nape na Mwigulu?
 
Chama kilichofilisika na hakina sera kwao ili wapate political popularity lazima wafanye maandamano,wapange mipango ya kuuwa na kuisingizia serikali kupitia vibaraka wao ndani ya ccm.

Sijui, lakini pengine hawa wanaccm wana maduka yao ambamo wanapata huduma, au hata wanahospitali zao ambako wanatibiwa, lakini kama ni hizi hizi za walala hoi, kujivunia KUWA WEWE NI MWANA CCM, ni UZUZU na ULIMBUKENI, tena ni KUKOSA AKILI KABISA, HATA UNAWADHALILISHA WALIOKUZAA!!!!!
 
Kuna rafiki yangu alikwenda baa siku moja kujiburudisha, lakini alipofika pale alishangaa kumkuta mchungaji wake yuko pale! alimfuata na kumuuliza mchungaji unafuata nini hapa baa kuna maovu mengi hapa! Yule mchungaji kwa busara sana akamjibu" Kwa sababu ya maovu hayo ndio maana niko hapa! Hii hadithi ina uhusiano gani na uzi huu, ni kuwa CDM hawana haja ya kuandamana kilimanjaro na karatu na huko "kwao" kwingine kwa sababu huko tayari wokovu umewafikia!

Heko mkuu
 
Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee
Hawawezi kuthubutu,
Wao huwaweka wajinga wengine m,bele kama chambo
 
Na kwa taarifa tu! Pindi upelelezi utakapokamilika chama cha kigaidi chadema kitafutwa rasmi

Tusipokuwa macho hawa CCM watatugawa kikabila natutaanza kupigana,kunyanyapaa watanzania wenzetu na watu kama wakwere,wazanaki,wandengereko,wamakua na wamwela hawatapata uongozi wa nchi kamwe kwasababu makabila ni madogo,CCM sasa hivi wametengeneza syndicate ya kumdharauNyerere kumshusha hadhi na kumdhalilisha lakini ukweli kitu alichofanyia nchiyetu kizuri kulikuo yote ilikuwa ni kutuunganisha na kuondoa ukabila ,Jetumuulize Bulembo Kilimanjaro au Moshi ni Chadema peke yao au wako CCM na TLP ,NCCRiliwahi kuwa na wabunge kule jamani inadhihirisha sasa kwamba kampeni zaozinafanikiwa Kikwete alipokuwa anapokea ushindi wa mwaka 2010 alisema uchaguziulitawaliwa na udini akalalama kwamba ataumaliza sasa sikiliza alivyofanya

Raisi-Mwislamu
Makamu wa Raisi-Mwislamu
Jaji Mkuu-Mwislamu
Mkuu wa Usalama wa Taifa -Mwislamu
Waziri wa Ulinzi-Mwislamu
Mkuu wa Jeshi la Polisi-Mwislamu
Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu-Mwislamu
Kati ya wakuu wa mikoa -28- 19 waislamu
Matajiri Kumi wa Nchi hii-10 waislamu-1 Mkristo
Asilimia 78 ya wajumbe wa kamati kuu ya wajumbe wa CCM- waislamu
Asilimia 81 ya wajumbe wa tume ya katiba waislamu
Asilimia 66 ya wakuu wa wilaya waislamu
KIkwete ameingiza mfumo Islamu nina wasiwasi anaposema au anapotuma watu wakekusema huwa ameshaamua jambo fulani ameshatutenga kidini sasa atatutengakikabila si mtu mwema hata kidogo kwa mustakabali wa taifa hili kiongozi mzuriangemtuma mtu akanushe maneno ya Bulembo lakini yeye anashabikia kwa sababuanataka kuwanyanyapaa wachaga bila sababu,Nape alisema hivyo hivyo kamaBulembo,Kinana alisema hivyo hivyo kama Bulmbo,Mwigulu alisema hivyo hivyo kamaBulembo Mtoto wa Kikwete yeye ndie aliyeapa kwamba Haitakaa itokee kaskaziniitoe raisi ,Mtanzania mwenzangu tafakari
 
Kweli Kabisa ....

haya maandamano yatafana sana kama yataanzia HAI na KARATU...

Hivi ndio vitovu vya Ukombozi
 
Mtoto wa nyumba ntobu (asiye na baba wa kueleweka) utamjua tu.gesi ya mtwara mnaitaka kln maandamano mnayagwaya,stupid.
 
Back
Top Bottom