kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,940
- 7,849
Hana tofauti na Ponda na shekh ilunga kwa kugawa watu na kupandikiza chuki. Anafaa akamatwe na polisi kwa uchochezi.Kada wa ccm bulembo amesema maandamano ya Chadema yaanzie kilimanjaro kwanza!amesema kila maandamano hayafanyiki kilimanjaro bali sehemu zingine.na waziri na naibu wa elimu hawajiuzulu kamwe