CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

Jamani hawa magamba msiwachukulie poa. Masanduku ya kura yako kwa nani? Yanalindwa na nani? Je, hamuoni kuwa wameisha yachakachua? Endapo hakimu ameshawekwa kati na magamba halafu akaamua kura zihesabiwe upya hamuoni yatashinda? Magamba huwa hayakurupuki aisee! Yako makini mno kwenye suala la wizi. Hizi chokochoko msizichukulie poa
wakithubutu kurudia uchaguzi hata hivyo vijiji vitatu walivyoshinda kwa kura tanotano watanyang'anywa .
 
Nimeona huko mwanza vijana wa vyuo wanaojiita ccm nikakasirika sana.Hivi kuna mivijana mipumbavu kiasi hiki hadi leo. ? Mibichwa yao imejaa usaha badala ya ubongo.Shame on you pupils.
..
 
CCM sumbawanga ni wapu.mbavu sana...wameiua ccm kwa ujin.ga wao wenyewe kumweka mbunge ambaye hata darasa la saba hakufika....na hata pale watu walipomkataa kwa kura Pinda akalazimisha akatangazwa, hata pale mahakama ilipotengua ubunge wake ccm pinda wakamlazimisha mwanasheria mkuu akailazimisha mahakama ya rufaa kumrudisha.

Sumbawanga hata ccm imsimamishe malaika lazima itashindwa tu....kama wanabisha wala wasiende mahakamani, uchaguzi urudiwe tena.
 
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

Nawaagiza wananchi Wa Sumbawanga nendeni mmtoe ofisini mmpige makofi huyo mpum.bavu! Hivi anafikri waliowachagua mwaka Jana ndo hao hao Wa sasa? Kum'make mbwa huyu! Wanajenga mazingira ya kugomea matokeo ya October 2015 kwamba hayaendani na ya mwaka 2010!! Nasema ccm pumba.vu magogoni mpaka Dodoma!!
 
Maccm majinga kweli. Ukiwa ccm sijui huwa wanapewa limbwata hata uwezo Wa kufiliri unapotea.
 
kama haya matokeo tu ya Sumbawanga yamewachanganya kiasi cha kuyakataa, Oktoba itakuwaje? si watakimbilia mahakamani kila sehemu maana sasa hivi wananchi wamejiandaa kuja kutoa maumivu ya uhakika Oktoba.
 
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?
Mwenzenu kibarua kinawaka ajui pakuanzia at I!!ndio anadili namedia chama wamsamehe!!aseme atorudia tens wasimsumbie akishindwwa ahamietu chadema awanahiyana
 
Mtaa wa Katoma mjini Geita,cdm waliishinda ccm kwa tofauti ya kura 80,wakaweka pingamizi..uchaguzi ukarudiwa after kama 1 wiki hivi....cdm wakashinda kwa tofauti ya kura 400 na hapakuwa na uandikishaji MPYA....sembuse hhuko ambako watu waliandikishwa upya?
 
Nawaagiza wananchi Wa Sumbawanga nendeni mmtoe ofisini mmpige makofi huyo mpum.bavu! Hivi anafikri waliowachagua mwaka Jana ndo hao hao Wa sasa? Kum'make mbwa huyu! Wanajenga mazingira ya kugomea matokeo ya October 2015 kwamba hayaendani na ya mwaka 2010!! Nasema ccm pumba.vu magogoni mpaka Dodoma!!

Hahahahahahaha,Mkuu taratibu watakupa ban. Nimecheka sana,hata hivyo maccm yamezidi ujinga sana utadhani wana hatimiliki na nchi hii.
 
Mwenzenu kibarua kinawaka ajui pakuanzia at I!!ndio anadili namedia chama wamsamehe!!aseme atorudia tens wasimsumbie akishindwwa ahamietu chadema awanahiyana
Mpwa wanasemaga mamakeku
Punguza jazba najua inauma hawa mwab
 
Nimeona huko mwanza vijana wa vyuo wanaojiita ccm nikakasirika sana.Hivi kuna mivijana mipumbavu kiasi hiki hadi leo. ? Mibichwa yao imejaa usaha badala ya ubongo.Shame on you pupils.
..

Hao ni watoto wa makada wa ccm na wenye njaa kali.
 
December watatumia nguvu nyingi kupinga matokeo ila ndio itakuwa mwisho wa zama zao kuongoza hii tanganyika.
 
Ccm hawajuwi hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho ndicho kitakacho waumbuwa na kuwapelekea cku moja kunyongwa mwisho wa safari maana watakapo tumia nguvu na raia wakatumia nguvu wataishia mwisho mbaya
 
Nami namuunga mkono Katibu wa Wilaya. Haiwezekani ccm chama kitukufu kishindwe na vyama vya msimu kwa kishindo namna hiyo. Nape ataua mtu mwaka huu. Mbona mwaka unaanza vibaya hivyo?? Tulitegemea kuona ushindi wa 51% mwaka 2025 kumbe mambo yamekuva kivingine kabisa. Ati viti vilivyogombaniwa sijui 38. Wale tuliokuwa tunawaita wapinzani na vyama vya msimu wachukue sijui 32 chama TWAWALA kichukue 6. Umeona wapiiiii? Kura zirudiwe. Tuanze kampeni upya na kura mpya. Wapinzani wametumia ndumba hao. Ni ajab sana na kweli
 
CDM inaelekea siyo chama kinachopenda demokrasia. Nasema hivi kwa kuwa chama kinachopenda demokrasia kinapaswa kulea upinzani ikiwa ni njia ya siasa shindanishi zenye kukidhi changamoto za kijamii.
Matokeo ya Sumbawanga yanaonesha mwelekeo wa kuua upinzani...na hii dhana ya 'delete ccm' ndiyo madhara yake hayo yanaanza kujitokeza.
Sasa kwa mwendo huu hiyo October kutakuwa na chama gani cha upinzani?
Mkuu na ile Amri ya 11. Usiwe Ccm Watu wameizingatia nasikia siku hizi inasaliwa kwenye nyumba za ibada.
 
Back
Top Bottom