CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

Hivi huyu katibu wa ccm mkoa ni mzima kweli?
Hivi ni kweli hajui kwamba siasa inabadilika kila siku?
Hivi alidhani wananchi wa Sumbawanga watakuwa mbumbumbu kila siku?
Nadhani kichwa cha katibu huyu kimegoma kufikiri kama vilivyo vichwa vya viongozi wengi wa ccm.
 
Mjinga kweli, kuna haja gani ya kuitisha uchaguzi kama matokeo hayatakiwi kutofautiana na ya nyuma! Let them pack and go,.
 
katibu ana hoja,,Ana haki ya kupinga,,,,,na awe makini sana kwani hao CHAGADEMA WANAFAHAMIKA KWA MBINU MBOVU,,,,GO GO KATIBU GO,,,
 
Nape hana matokea mpaka sasa, nani amepinga kama kinana Tembo hayajui
 
Watangangania Ikulu WAKISHINDWA kidemokrasia lakini wajuwe hata Hao wanaowategemea ...wanaheshimu atakayeshinda
 
Matokeo ya mwaka 2010 ..maeneo ya makambi yote ...hadi Makazi ya walinzi wa Rais ( VIP PROTECTION UNIT OR PRESIDENTIAL P.U) ...wanajuwa nani Alishinda ..those where the signs on the wall
 
Jamani hawa magamba msiwachukulie poa. Masanduku ya kura yako kwa nani? Yanalindwa na nani? Je, hamuoni kuwa wameisha yachakachua? Endapo hakimu ameshawekwa kati na magamba halafu akaamua kura zihesabiwe upya hamuoni yatashinda? Magamba huwa hayakurupuki aisee! Yako makini mno kwenye suala la wizi. Hizi chokochoko msizichukulie poa
 
Hivi huyu katibu wa ccm mkoa ni mzima kweli?
Hivi ni kweli hajui kwamba siasa inabadilika kila siku?
Hivi alidhani wananchi wa Sumbawanga watakuwa mbumbumbu kila siku?
Nadhani kichwa cha katibu huyu kimegoma kufikiri kama vilivyo vichwa vya viongozi wengi wa ccm.
Labda katibu mwenyewe ndio huyu humu JF anajiita laki si pesa! hakuna ID ya Lumumba iliyoshine humu tangu huu uzi utundikwe
 
nimemsikia star TV nikamshangaa nikidhani anatania lakini sura yake ikionekana yuko serious nadhani alilinganisha na matokeo ya ubunge pia! maajabu
 
Sasa kama elimu yake darasa la saba mlitaka atoe sababu gani?? Au hamjui wenyeviti na makatibu wengi wa CCM ni darasa la saba
 
Katibu hajitambui kama CCM imeshakuwa chama cha Upinzani?

Yuko dunia gani huyu katibu
 
Nimefurahi jamaa wana anza kuwa chama cha upinzani. Na bado.
 
Nape naye bado hajayapata??? Mwenye taarifa plizi
 
Back
Top Bottom