CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

Kwahiyo anataka kusema kuwa cdm wameiba kura?kwa access gani chama cha upinzani kiibe kura?
 
CCM sumbawanga ni wapu.mbavu sana...wameiua ccm kwa ujin.ga wao wenyewe kumweka mbunge ambaye hata darasa la saba hakufika....na hata pale watu walipomkataa kwa kura Pinda akalazimisha akatangazwa, hata pale mahakama ilipotengua ubunge wake ccm pinda wakamlazimisha mwanasheria mkuu akailazimisha mahakama ya rufaa kumrudisha.

Sumbawanga hata ccm imsimamishe malaika lazima itashindwa tu....kama wanabisha wala wasiende mahakamani, uchaguzi urudiwe tena.

Siasa ya Sumbawanga kila siku ccm inaundiwa mbinu za kuiua so kila siku ni damage kwa tension iliyopo kule wakirudia tu wanapoyeza yote mitano
 
Siasa ya Sumbawanga kila siku ccm inaundiwa mbinu za kuiua so kila siku ni damage kwa tension iliyopo kule wakirudia tu wanapoyeza yote mitano

wamekiua wenyewe....kwa ujinga wao wala si kuundiwa mbinu. Nani alimtaka aeshy? si alibebwa na pinda tu?
 
Jamani hawa magamba msiwachukulie poa. Masanduku ya kura yako kwa nani? Yanalindwa na nani? Je, hamuoni kuwa wameisha yachakachua? Endapo hakimu ameshawekwa kati na magamba halafu akaamua kura zihesabiwe upya hamuoni yatashinda? Magamba huwa hayakurupuki aisee! Yako makini mno kwenye suala la wizi. Hizi chokochoko msizichukulie poa

Ndugu yangu siyo kwa suala nyeti kama hili,watachakachua ila kama mpiga kura hataki hata ukifanyaje.
 
Huyu katibu ni mwanachama wa siri wa CDM! Amesha wachinjia baharini ccm! Na wako wengi wa aina yake!
 
Hii ni dalili tosha kuwa kwa sasa CCM haina watu wenye akili na upeo wa kuchanganua mambo hivi kweli mtu mwenye akili timamu aliyeaminiwa na chama anaweza kutamka matamshi yenye sababu za kijinga kama huyu? jana tuliweza kumsikia Nape na yeye akitamka kuwa hajayaona hayo matokeo kumbe wote akili zao zilikuwa zimejikita kwenye sababu za kijinga kama hizi.
 
attachment.php
 
kutoka chama tawala mpaka chama cha mapingamizi,mwezi wa kumi mtapinga sana
 
Hahahaha raha sana kumuona ccm kageuka mpinzan

Watu Wakisema CCM Ndio Wahusika Wakuu Wa Vurugu Miaka Yute Wanabisha! Sasa Ni Wazi Wazi Mambo Yanadhirika, Yaa Hawako Tayari Kushindwa. Huyu Katibu Anachobisha Ni Nini Wakati Matokeo Yako Yameshatanga9a Na Wasimamiz Wa Uchaguzi. Wengi Tutapata Shida Sana Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Ivi Kwa Hali Hii Ikulu Wataachia Kweli? Kikubwa Mahakama Zetu Zisimamie Haki.
 
Back
Top Bottom