CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

Kimenuka!!
 
Huyo katibu inaonekana akili zake zimeenda likizo baada ya kufurahia hata hiyo mitaa waliyopata hakubali tena mi nilifikiria wanatakiwa kufurahi maana ccm haikustahili hata kupata mtaa mmoja kadri ya matendo yake.Yeye anafikiria matokeo ya 2009 mpaka leo Wanainchi wanaelimika kila cku hongera Ukawa/Chadema
 
Katibu hajitambui kama CCM imeshakuwa chama cha Upinzani?

Yuko dunia gani huyu katibu

CDM inaelekea siyo chama kinachopenda demokrasia. Nasema hivi kwa kuwa chama kinachopenda demokrasia kinapaswa kulea upinzani ikiwa ni njia ya siasa shindanishi zenye kukidhi changamoto za kijamii.
Matokeo ya Sumbawanga yanaonesha mwelekeo wa kuua upinzani...na hii dhana ya 'delete ccm' ndiyo madhara yake hayo yanaanza kujitokeza.
Sasa kwa mwendo huu hiyo October kutakuwa na chama gani cha upinzani?
 
Teteteeee...kipigo cha ushindi wa cdm kinawatoa ufahamu. CCM ni wapinzani Sumbawanga na upinzani si kupinga kila kitu...toeni pongezi kwa cdm
 
nakumbuka kiongozi moja wa deni alisema ccm ndio watakua wakwanza kuleta machafuko wakitolewa ikulu sasa nayaona nayakuja
 
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.

Chanzo: ITV habari za saa.

My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?

kwani NEPI ameshayaona matokeo haisi?
 
Hahaaa!! Huyo katibu ni mjinga na mjanja sana. Ameshaambiwa na watu CCM makao makuu watamtimua kwa kuwa ameshindwa kupambana na CHADEMA ipasavyo hivyo hana mbinu mbadala zaidi ya kujitetea kijinga.
Poor CCM.


Mkubwa nakwambia hawa majinga wa ccm siku zao zinahesabika hasa ukizingatia hapa mbele tunapoelekea ni pazuri haswaaaaaa!!!!

Nyambafu zao maccm!!!!!
 
hizo sababu kama ni kweli basi acheni nyoka mwenye makengeza aendelee kutupiga!!!!
 
Jamani hawa magamba msiwachukulie poa. Masanduku ya kura yako kwa nani? Yanalindwa na nani? Je, hamuoni kuwa wameisha yachakachua? Endapo hakimu ameshawekwa kati na magamba halafu akaamua kura zihesabiwe upya hamuoni yatashinda? Magamba huwa hayakurupuki aisee! Yako makini mno kwenye suala la wizi. Hizi chokochoko msizichukulie poa

Kura huwa zinahesabiwa na msimamizi wa uchaguzi akiwa chini ya uangalizi wa mawakala wa vyama vyote vilivyoshiriki. Wakimaliza matokeo huwa yanasainiwa na mawakala wote na msimamizi kisha kila mmoja anabaki na nakala yake, moja inabandikwa kwenye kituo!

Sioni namna wanaweza kubadilisha matokeo!
 
Hawa safari hii watasingizia hata visivyowezekana kudadeki na bado !
 
Kama katibu ana akili na uwezo wa kufikir kama huo basi ni kichekesho cha karne hiki!
 
Back
Top Bottom