kwani NEPI ameshayaona matokeo haisi?
NEPI ndio nini mkuu?
Mzee Slaa mwenyewe bado hajaoa, itakuwa nyie?
Hahaaa!! Huyo katibu ni mjinga na mjanja sana. Ameshaambiwa na watu CCM makao makuu watamtimua kwa kuwa ameshindwa kupambana na CHADEMA ipasavyo hivyo hana mbinu mbadala zaidi ya kujitetea kijinga.
Poor CCM.
sababu ya kupinga matokeo itamrahisishia kazi hakimu atakayetupilia mbali kesi hii.
Kishtobe! Mmmwwaaaaa! Lazima tukubebeshe mbami.
Alitegemea matokeo yafanane kila mwaka?inaelekea bado haamini kilichotokea.Haya mapingamizi ya kishenzzi na ya kupotezeana muda inabidi yaongelewe kwenye katiba mpya.Kuwepo na vigezo vya mapingamizi,sio tu mtu anaweka pingamizi heti matokeo hayafanani na ya uchaguzi uliopita wakati wanaosimamia ni wao,polisi ni wao,uchakachuaji ni wao,sasa anafikiri kura zilijipiga na hazikupugwa na watu?
Waache kukariri ujinga!
MaCCM bana na yatarefer sana miaka ya nyuma.
Watanzania wa leo siyo wale wa jana.
Nape hana matokea mpaka sasa, nani amepinga kama kinana Tembo hayajui
Wanajifanya hawajuiNape hana matokea mpaka sasa, nani amepinga kama kinana Tembo hayajui
Mmh...are they serious? Kweli ukiwa ccm akili zinaruka
Mzee Slaa mwenyewe bado hajaoa, itakuwa nyie?
Akiongea na waandishi wa habari, katibu wa CCM mkoa amesema hawakubaliani na matokeo hayo kwa vile hayaendani na matokeo ya jumla waliyopata kwenye uchaguzi kama huo mwaka jana ki-mkoa ambayo ni asilimia 69.
Chanzo: ITV habari za saa.
My take; Hivi hajui mambo huwa yanabadilika, wananchi (CCM) wa mwaka jana si wa leo?
Hahahaha raha sana kumuona ccm kageuka mpinzan
Hivi huyu katibu wa ccm mkoa ni mzima kweli?
Hivi ni kweli hajui kwamba siasa inabadilika kila siku?
Hivi alidhani wananchi wa Sumbawanga watakuwa mbumbumbu kila siku?
Nadhani kichwa cha katibu huyu kimegoma kufikiri kama vilivyo vichwa vya viongozi wengi wa ccm.