WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 609
- 618
Kuna tatizo hapa...kubali usikubali huo ndiyo ukweli ila hamtaki kuukubali wanasiasa wanataka katiba mpya kwaajili ya kipengele cha tume huru tu ambayo wanayoitumiani wana siasa mwananchi wa kawaida inamhusu nini?
Hujui bado madahara ya mwanasiasa katika maisha yako ya kila siku..
Ni bora pia ungepitia ripoti ya Warioba ungejua wanaichi wanataka nini katika katiba mpya. usipende kusikiliza wanasiasa....