CCM wanaandamana Dodoma

mkuu weka picha tuone. je wanao andamana ni viongozi wa kitaifa au nyumba kumi? Bora uwafuate sasa hivi uwapige picha kabla hawajapewa marupurupu coz wakishapewa watarudi wanacheka.

sory guys ingawaje mimi cio niliyeleta uzi huu! Wakat wanapta sim yangu ilikuwa imei restart kwa kuhsi haruf ya magamba nikashindwa kupata picha!
ndo maana nilisema wakpita tena njia hii ntafotoa nyngi nyng sasa hawakupta!
Very very sory! Lbda mreta thread!
 
Hatukuwaona kuandamana baada ya ripoti ya CAG kutolewa,serikali ya majambazi wezi wanaishangilia,chama kimepoteza dira mvuto wanashangilia,Lusinde,Raisi Mkapa,Ole sendeka matusi hatukuwaona,Wabunge wa chadema kucharangwa mapanga na makada kuuawa hatujawaona hao ni majuha wa nchi hii

washenzi kabisa hawa, kama ni wazalendo na wapenda amani wa kweli mbona hawakuandamana kulaani mashambulizi waliofanyiwa wabunge cdm na mauaji ya mwenyekiti wa cdm-usa river? au walitaka wafanye maandamano ya kuunga mkono ufedhuli wao waliofanya? ccm wamekosa dira na hawana mwelekeo ni mambumbumbu kabisa hawa, wanalaani kauli lakini wananyamazia kimya vitendo viovu, nashindwa hata kutafsiri ni watu wa namna gani hawa! they should go to hell.
 
Hata mm nmewaonan then kulikuwa na gari lenye spika kubwa huku akitanga kwa kuwashaeishi eananchi wa dodoma kuamini kuwa CDM ni chama ambacho kina sera za kupotosha na ni chama ambacho kinataka nchi hii isitawalike kwa kutoa lugha za
uchochezi.

Pia wamedai kuwa chama vha mapinduzi ndo chama pekee kinacjojali wanamchi na ni cjama kilicho na sera/ ilani nzuri kupita vyama vyotehwpa nchi.

Hakika km jamaa hapo juu qlivyo
 
ccm wana matembezi ya mshikamano toka uhuru sijawahi kusikia ccm wakiandamana.
wanaonyesha mshikamano kwa kauli za wapinzani?
 
Mungu wangu awasaidie na kuwaokoa watu ambao bado wanaiunga mkono ccm, 2015 ni lazima ccm itatoka 2 iwe kwa diplomatic au kwa force.
Peoples.............
 
Wapiganaji wala msione kitu ajabu humo kwa hata naye anao watetezi wake hap hapa duniani.

kweli hali mbaya ccm wanaandamana hapa dodoma wapo kame 50,wanatembea kama watu waliyokata tamaa kabisa,wengine wanaficha sura kama vile wamelazimisha.masikini CCM!
 
ccm ya arusha wajaribu kuandamana waone kilichomtoa kanga manyoya ya shingo.
 
Hawa ni mawenge tu, itakuwa wamepewa bahasha ili kuonyesha kuwa CDM haikubaliki Dom, wapinzani kwa CCM ni maadui; ujue kama karne hii wabunge ni manunda kiasi hiki je huko vijijini si balaa tupu.
 
Back
Top Bottom