Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,781
- 50,303
Kwenye kiingereza kuna msemo maarufu wa "walking dead" ukimaanisha mtu anayetembea lakini anatenda matendo mafu.
Msemo huo unaashiria kuwa Kuna watu huwa wanaishi lakini wenyewe hawana hisia ama hutenda kama vile mazingira yanayowazunguka hayawaathiri.
CCM kama chama cha siasa, ni kama kimepoteza kabisa uhusiano wake na maisha ya kawaida ya watanzania.
CCM wenyewe wanaona kila kitu kiko sawa na kinafanyika kama kilivyokusudiwa na kinaleta matokeo chanya.
Ukiwasikia CCM wakiongea lazima ujiwe na swali hili la msingi. Jee wana akili timamu na maisha wanayoishi watanzania wengine ndiyo na wao pia wanayaishi?
Ni kama CCM inatembea huku ikiwa imekufa. Hii ni hatari Sana.