CCM Wametelekeza Watu Mwanza

CCM Wametelekeza Watu Mwanza

Wanarandaranda Viwanja Vya Furahisha Kuelekea Villa Park,chakusikitisha Wengi Ni Kina Kina Mama Na Wa Bibi,huu Ni Ukatili,kama Kuna Mwana Ccm Akisoma Huu Uzi Aujulishe Uongozi,simu Yangu Haina Uwezo Wa Ku Appload Picha,mwana Jf Aliyepo Maeneo Haya Mwenye Simu Fresh Anisaidie Kuwapiga Picha Na Kuziweka:Machokoraa Watafanya Yao Leo.

Uongo lini utaacha?
 
Wametelekezwa kweli. maana tumeona watu wanatoka furahisha kwa miguu hadi nyegezi.na wengine wanaenda buhongwa!! wakilalamika na huku wakiwa wamenyeshewa kimvua cha saa mojamoja. ni sheeeda!
Duhh!! Watakuwa wananuka kweli hao.
 
Dah kweli mm mwenyewe nmekutana na wakina mama wanaangaika usafiri wa kurudi igombe...wakawa wanalialia waliambiwa watarudishwa bure igombe wametelekezwa na hawana nauli nikwaonea huruma kwani wengine walikua na watoto wadogo mgongoni ikabidi niwape buku 5..walishukuru ila walinihaidi watampigia lowassa

Dah! Jamaa msaniii sana
 
Nenda Uwanjani Ccm Kirumba,nimeacha Wameingizwa Mle

kwa hiyo mkuu huko kuna bufee kwa sababu huu muda ni wa kufuturu sasa itakuaje mkuu kama una salio pitisha wema ukakeshe na ke mmoja hahahaha
 
Kuna walioletwa kutoka Nansio hawa waliambiwa wataletewa meli mbili ,kuna waliotoka Bunda waliambiwa watajengewa daraja ,jamaa ana ahadi haijawahi kutokea duniani ,mgombea Uraisi kuwa na ahadi nyingi kupita maelezo tatizo akiulizwa ahadi ya mwanzo kuitoa ,haijui !

Hivi huyu ndie yule alisema raisi wa Kuwaiti ni Sadam Husein ?
 
Kisa kuta kujilinganisha Lowassa. Ccm kwa kuiga
 
Na mvua imewatandika wakuu wawilaya waliamuliwa kila mmoja isipokuwa wilaya ya ukerewe tu ahakikishe analeta furaisha watu 400.
 
Back
Top Bottom