nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
- Thread starter
- #61
Wamekwisha ambiwa kwamba wawe na subira kwani fuso bado zinawarudisha wale wanaotoka mbali kidogo,vilevile utaratibu wa kuwarudisha upo unaandaliwa endapo magari hayo yatachelewa.
Ni Ajabu Kumwona Magufuli Kakomaa Kuwaombea Kura Wagombea Kwa Watu Wasio Wakazi Wa Mwanza