CCM Wametelekeza Watu Mwanza

CCM Wametelekeza Watu Mwanza

Hao mnaosema wameachwa walikua wapi hadi unatuletea taarifa yako hapa mkutano si umeisha mapema tu.

Mkutano Unapoisha,ndiyo Burudani Huendelea,wamejikuta Giza Limeingia Na Magari Yamesepa,changanya Na Umeme Basi Ikawa Ni Mawenge,hawajui Hata Walipoingilia
 
leta picha mkuu si unajua sisi WAKWELI WA UKAWA TUKILETAGA POST TUNAWEKA NA PICHA?
Weka PICHA tuwaumbue UWONGO wao.
 
Hahahahaaaa. Mvua imeanza kunyesha Leo ni aibuuuuu.
 
Wamekwisha ambiwa kwamba wawe na subira kwani fuso bado zinawarudisha wale wanaotoka mbali kidogo,vilevile utaratibu wa kuwarudisha upo unaandaliwa endapo magari hayo yatachelewa.
 
Mvuaaaaa. Aibu kila kona wanawake wamejaa . ukiwaona hadi huruma. Wamejawa majonzi kwelikweli
 
Zakaria hakulipwa na kuwarudisha au? Hii n aibu ya mwaka aisee
 
Ni kwanini maghufuli hashindikizwi akimaliza mkutano kama Lowassa?
 
Acheni habari za kiduanzi...uo ni uongo.tuonyesheni picha tuhakikishe.msilete habari zilizojaa shombo
 
Masikini wazee wa watu ! Walifuata mkumbo wa kupanda malori ona sasa wanaadhirika !
 
Ni kwanini maghufuli hashindikizwi akimaliza mkutano kama Lowassa?

hahaha mkuu hapo ujue wamekuja kuona wasanii, ata huyo magufuli asingekuepo wangejaa vilevile, utashangaa wanaeza msindikiza diamond ila sio magufuli
VIVA UKAWA!!!!
 
Kuna jamaa yangu yupo Geita anahaha kwa kusubiri ujio wa ndugu yake aliyefata mkumbo.
 
Back
Top Bottom