nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
- Thread starter
- #21
Hata mm wameniomba buku wadada Flani eti wanaelekea igombe coz waliaidiwa kurudishwa haqajarudishwa hadi sasa
Hao Watamfanya Kitu Mbaya Angelina Mabula Trh 25
Hata mm wameniomba buku wadada Flani eti wanaelekea igombe coz waliaidiwa kurudishwa haqajarudishwa hadi sasa
Dah kweli mm mwenyewe nmekutana na wakina mama wanaangaika usafiri wa kurudi igombe...wakawa wanalialia waliambiwa watarudishwa bure igombe wametelekezwa na hawana nauli nikwaonea huruma kwani wengine walikua na watoto wadogo mgongoni ikabidi niwape buku 5..walishukuru ila walinihaidi watampigia lowassa
Unafiki wapi wakati ni kweli. Halafu Leo mabula alikuwa hajiamini kabisa. Kila akifikiria haoni nafasi ya kuwa mbunge wa nyamagana kwa wenje
Baada ya kusoma ule uzi wa fiesta ya Mwanza leo, nilikuwa nasubiri habari ya watu kulekezwa. Hii imekuwa ni kawaida katika mikutano kama hii. Hivi kwa nini watu hawajifunzi?
Haihusu. Naongelea kuleta watu kwa ahadi za kuwarudisha na kuwatelekeza baada ya mikutano. Ubinadamu uko wapi?tarehe 27 mtapoteana humu ndani.
Siku Magufuli anatangazwa kuwa rais wa awamu ya tano mtatafuta kwa kutokea.
Acheni unafiki.
Ukawa huwa hatuna hulka ya kuzusha mambo tupieni ha picha tuone wakuu tusiongee maneno matupu
Thank you, stand out of the cloud and smoke screen.WanaCCM tuache sasa kulaghaiwa. Tumebebwa Morogoro, tukatekelezwa baada ya mkutano. Wengine ndoa zikavunjika baada ya kurudi nyumbani siku ya pili tukiwa hoi na wachafu. Kumbe yale malori yalikuwa yamekodiwa kwa tripu ya kwenda turn siyo kurudi! Tabora ni vivyo hivyo. Wengine wakabakwa sababu ya kulala nje ya uwanja. Malori hayakulipwa! Sasa Mwanza! Mhh! Nimechoka. CCM haitanioa. Nakipenda chama changu lakini sasa nimeamini kuwa maji yapo shingoni. Kuna maisha zaidi ya CCM. Ngoja nitetee ndoa yangu. Kwaheri CCM.
Bora mwambie wabebe nauli za kurudi. Sio kuwadanganya