Wana jf ccm wamekuja hapa upanga unique collage kutuomba twende kwenye mkutano wao wametupa tsheti na usafiri wa mabus na kikubwa zaidi wametupromic pesa tutakapo maliza kuwashangilia.
Tupo upanga hapa chuo cheti[I /QUOTE]
Mmekubali au mmekataa hizo ghiriba za CCM? Kama mmekubali basi nyinyi mtakuwa ni CHOO CHA UNIQUE!