Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Changa mkia posho, Kofia na Tshirt hizo wewe!
Think big! Hahaha hauwezi kuwa serious mm nimetoa hoja kwa ushahidi wewe maneno matupu bila fact ndio u-think big nafkiri.
Hoja nyengine ni hii kwa sababu Wilaya ya Temeke ni Jirani na Ilala na zote ni sehemu ambazo CCM inawafuasi wengi basi haikuwa na shida kuchukuwa watu sehemu nyengine.
Na siku ya Mkutano pale PTA ama kwa umaarufu Karume Hall basi walialikwa wazee wa Dar tu vijana waliokuwepo ni wa burudani tu.
Kama CBE ni maarufu kuna vyuo jirani pale TIA, Diplomasia sio Famous kama CBE sasa watashindwaje?
Na kwa Azizi Ali pale juu stand ya daladala pia ipo college ambayo ni private kwann wasiende pale?
Mkuu CCM kwa Dar stil inanguvu hata kurejesha majimbo yake yaliyochukuliwa so usijistress bure piga kitabu tu wewe
Ccm haina shida kiasi hicho. Acha uongo. Na huwezi kudanganya watu wote.
Hakuna kwenda kataeni hiyo ni dhambi kushirikiana na MAINTAREHAMWE kwaajili ya kuwadanganya Watanganyika ni dhambi ambayo kama mkitenda hampaswi kusamehewa ni sawa na yule anayekufuru ROHO
BACK TANGANYIKA
Kalenga, Chalinze na kiembe samaki bila kusahau ushindi wa chopa 3 kata 3