CCM wamekuja Chuoni kwetu kutuomba twende Sabasaba

CCM wamekuja Chuoni kwetu kutuomba twende Sabasaba

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
661
Wana jf ccm wamekuja hapa upanga unique collage kutuomba twende kwenye mkutano wao wametupa tsheti na usafiri wa mabus na kikubwa zaidi wametupromic pesa tutakapo maliza kuwashangilia.
Tupo upanga hapa chuo cheti
 
Hakuna kwenda kataeni hiyo ni dhambi kushirikiana na MAINTAREHAMWE kwaajili ya kuwadanganya Watanganyika ni dhambi ambayo kama mkitenda hampaswi kusamehewa ni sawa na yule anayekufuru ROHO

BACK TANGANYIKA
 
Wana jf ccm wamekuja hapa upanga unique collage kutuomba twende kwenye mkutano wao wametupa tsheti na usafiri wa mabus na kikubwa zaidi wametupromic pesa tutakapo maliza kuwashangilia.
Tupo upanga hapa chuo cheti

peas za meno ya tembo zinarudi kwa mtindo huo. Faida kwao ni kuodhi madaraka kwa nguvu ya pesa haijalishi imepatikanaje!
 
Nendeni tu ili muwape moyo wajione wana mashabiki wengi, ikifika wakati wa kupiga kura wanabwagwa......

profilepic 2015.JPG
 
Nimekutana nayo Keko yako kwenye land cruiser hardtop, yamefunga bendera na yamebeba watu wengi wao vijana wamevalia T shirts za dark blue zina maandishi mgongoni yanayosomeka serikali 2 zatosha, ni majitu mapuuzi ni ya kupuuzwa
 
walikuwa wanafanya hivyo hata vyuo vingi dodoma, mabasi ya shabiby yalikuwa yanawafuata mpaka hostel, kisha wanaenda kama royal village au nyerere sq, hiyo ni kawaida nayo, wakati wenzao CDM watu wanatoka makwao na kwa nauli zao bila kuhongwa wala ahadi kwenda kuwasikiliza viongozi wazalendo.
 
Wana jf ccm wamekuja hapa upanga unique collage kutuomba twende kwenye mkutano wao wametupa tsheti na usafiri wa mabus na kikubwa zaidi wametupromic pesa tutakapo maliza kuwashangilia.
Tupo upanga hapa chuo cheti

Acha uongo wewe! Kwani ccm ina shida gani mpaka ije ikuombe wewe ambaye hata kuandika hujui
 
Ayaaa!!! Umeshaharibu. Mngelamba pesa na mnaenda kama kawa. Subiri Nape na Lumumba buku saba wanao kesha hapa kama mapopo wauone huu uzi.
 
Acha uongo wewe! Kwani ccm ina shida gani mpaka ije ikuombe wewe ambaye hata kuandika hujui
Wewe ni mtu mpuuzi usiye na akili unategemea mimi nije kuandika uongo hapa nipate faida gani?
Nenda saizi pale upanga unique collage uone Kama kuna wanachuo.
 
Roho zinawauma sana kuona CCM inapendwa kila kona.
 
Kuleni hela vijana maana maisha magumu mnayoishi wamewasababishia wao.
Tumieni kauli mbiu ya KULA ccm,KURA UKAWA,na Mungu wa Watanzania atawabariki.
 
Back
Top Bottom