Rais anahonga kusikilizwa..Sasa kuna shida kama ukienda kumsikiliza rais wa nchi?
Roho zinawauma sana kuona CCM inapendwa kila kona.
Mbona ukipewa pesa na kupigwa kabang husemi?
Hapo umenena....
Kumbe ndio maana mnafanya hivi!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Mkuu Zamlock, Mungu awape nini tena?!, t-shirt ndio hizo!, usafiri ndio huo!, na pesa juu?!, changamkieni dili!, na muda wa ku upadate daftari la wapiga, hakikisheni mnajiandikisha na siku ya kupiga kura 2015, hakikisheni mnalipa fadhila ya hizo t-shirts, kofia na huto tujisenti!.
Kiukweli CCM wanafanya siasa safi!, yaani wanapendwa sana na vijana kwa sababu CCM inawajali kwa mavazi, pilau na pesa!.
CCM Oye!.
Pasco

Chopa vipi ?
Wenye Chopa wana uhakika na wanachosema ni sahihi.
Hivyo hawana sababu ya kuwarubuni wananchi kwa kuwagawia UBWABWA.
Wana CCM wote njaa inawasumbua na kwa kulijua hilo Mafisadi wanawapa UBWABWA tu.
KWINEYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Za kupewa na Nimrod Mkono halafu unadai umekopesha chama kutoka mfukoni mwako ? ama chopa tatu na kata tatu ?
Za kupewa na Nimrod Mkono halafu unadai umekopesha chama kutoka mfukoni mwako ? ama chopa tatu na kata tatu ?
HIvi kwani wewe unayesikia ya kuambiwa bila ya kutafakari!!!!
(1) Kwani Nimrod Mkono ni Mwana CCM au Mwana CDM?????
(2) Ni Mbunge anayewakilisha Chama gani???
Naomba nipe jibu murua kisha nitaendelea.......
Hapo huoni Mbali kjana.... Huwez kuwarubuni Watu kwa raia Wa karibu Na CBE Ni chuo famous sana..ili kufinika hila Yao ndipo wakaenda ktk chuo ksicho Na jna lolote ili kuweka mambo sawa... Dogo mchezo mchafu huujui think big mwanangu....