Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao...