Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,312
- 79,991
Confucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA, MWEZI NA UKWELI.
Unaweza tembea na uwongo, kuupamba na kuuremba, lkn Ukweli utakuumbua.
Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI.
Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha utoto mkiwa mnacheza mpira mkimpiga chenga mwenye mpira wake kinachofata anasubiri utoke anaukamata anaondoka nao.
Karne hii ya sasa hauwezi kushindana na technology hata mkizima watu tutarudi JF JamiiForums ni jukwaa pendwa sana litaishi milele na milele
Hongera sana Maxence Melo na vijana wako mnatupambania sana hongereni sana