NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,045
mm simu yangu ni ya batan aina tecno 528 hii simu ina browser ya operamin ko nafunguaga sana jf kupitia hi simu mpaka sasa naandika comment hii sijaona jf ikisumbua
Umecoment vipi hapa kama hauipati bwashee?😆😆Upo nje ya nchi? Unaioataje JF mi siipati kabisa🎃🎃🎃
Dah,Hii tu hawawezi kuizima sabu domain yake sio ya TZ na Server haziko hapa nchini inatumia Reverse Proxy ya Cloudflare USA huko so hawana guts za kuizima...
Ni browser au vpn?Tuwambie watu watumie Tor browser in nzuri sana kwa kipindi hiki
Maelezo yametulia sana haya. Na iwe hivyo. Jamiiforums foreeever!Hii tu hawawezi kuizima sabu domain yake sio ya TZ na Server haziko hapa nchini inatumia Reverse Proxy ya Cloudflare USA huko so hawana guts za kuizima...
Wanachokifanya nahisi ni kuwaambia ISPs wa blacklist IP ya JF tu isiwe accessed na mitandao ya Bongo hapa ila mtu ukitumia VPN au Proxy una unblock na ku access..
Technology huwezi kupambana nayo yote uishinde labda ubaki kuchekesha tu watu, Iran, China, na baadhi ya nchi wana hizi censorships na firewalls kali lakini watu wanapata access kwa backdoors kama kawa..
Now upo nchi Gani 😎Vpn babu! Ila kila muda inaniambia nibadili location
FranceNow upo nchi Gani 😎
Mwenzio nipo china hapa 😎France
Ng'ombe wa mama wanataman kulia, mipango imekula za pua kama mipango y ibilis na mama mkwe wakeConfucius alisema,vitu 3 huwezi vificha, JUA,MWEZI NA UKWELI.
Unaweza tembea na uwongo,kuupamba na kuuremba,lkn Ukweli utakuumbua.
Natamani wangejua Hekima za wazee,MFICHA UCHI HAZAI.
Chama chenu kina vijana wasio na uwezo wa kupambana na hoja matokeo yake ndio haya. Nakumbuka kipindi cha utoto mkiwa mnacheza mpira mkimpiga chenga mwenye mpira wake kinachofata anasubiri utoke anaukamata anaondoka nao.
Karne hii ya sasa hauwezi kushindana na technology hata mkizima watu tutarudi JF JamiiForums ni jukwaa pendwa sana litaishi milele na milele
Hongera sana Maxence Melo na vijana wako mnatupambania sana hongereni sana
We vp unauza sili za kambi, we injoi jukwaa kuhusu umeingiaje baki nayo moyonmm simu yangu ni ya batan aina tecno 528 hii simu ina browser ya operamin ko nafunguaga sana jf kupitia hi simu mpaka sasa naandika comment hii sijaona jf ikisumbua
Sawa Keyboard warrior hawawezi kufanya kitu. Why wafungie mitandao?Waoga ila pia wanajua wana dili na keybord worrior mkuu, wao sio wajinga.