FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
kwa sasa Bunge halali lipo "mtaani" huko umebaki mkutano mkuu wa nec tena husio na mwenyekiti maalum. ngoja upepo uendelee kuvuma tu kitaa, tuone ka "bwana mkubwa" hajawaita wayamalize....!!!
UKAWA wana uwezo gani wa kuhimili gharama za midahalo na mikutano kwa miezi mitatu mfululizo? unless wawe funded na vikundi vya nje visivyoitakia mema Tanzania na hizo funds ndizo zikazowatenganisha.
Kitendo cha UKAWA ilitakiwa iwe ni protest ya siku moja tu na siku ya pili warudi bungeni. Na si kulisusia bunge kabisa, hawana vyanzo vya mapato na hapo ndipo watakapoanza kutumika. Tena kwa kukujuza tu, licha ya kutumiwa na makundi ya nje, CCM yenyewe wanaweza kuwatumia kwa fedha kiaina ili iwasambaratishe.
Kitendo cha UKAWA mimi nnakiona ni kama pweza kujipalilia mkaa mwenyewe anapochomwa.
Utanambia.