CCM tusiende tena kwenye Midahalo

CCM tusiende tena kwenye Midahalo

Natumaini Ushauri wako wahusika wataufanyia kazi,
Mada aka Status zako nazikubali sana, Haufungamani na Upande wowote ule.
Majuzi ulikuja na Uzi kuwa CCM kujibu mapigo ya UKAWA, na kweli tukaona.
Zidi kutufungua macho kwa nondo zenye mashiko.
Welcome back Mkuu Vuta - Nkuvute

Leo nilikuwepo Serena Hotel kuhudhuria Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi moja binafsi nchini (jina limenitoka). Nimesahau hadi jina la Taasisi kwa yaliyotokea pale. Mdahalo huo ulikuwa ukiongozwa na Bi.Rosemary Mwakitwange na kurushwa moja kwa moja na ITV na Radio One. Pamoja na washiriki wengine,meza kuu iliwajumuisha watu 'wazito'.

Mdahalo ulijikita katika Mada: Tanzania Tuitakayo.Lakini hasa ilizungumzwa sana Rasimu ya Katiba mpya.Meza kuu ilikuwa na Wageni kama Ndugu Juma Duni Haji (Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF),Ndugu Vuai Ali Vuai (Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar) na Humprey Polepole (Mjumbe wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba).

Kiufupi,CCM tumedhalilishwa,tumezomewa,tumejichanganya,tumepoteana,tumejiharibia na kukosea kuhudhhuria pale. Vuai hakutusaidia. Alibaki kutetema kwa hasira na kushikwa na tashwishwi zisizo na maana. Eti alidai watu 9000 ni asilimia 5 ya watu wote wa Zanzibar.Kweli?! Hivi hata kama Zanzibar ina watu milioni moja kamili,asilimia 5 ni watu 9000?

Duni na Polepole walitamba walivyoweza.Walishangiliwa.Walifunika.Walimpotezea mbali Vuai. Walishinda kirahisi kutokana na mwakilishi wa CCM kukosa hoja za haja na kubaki kubwabwaja. Sikuamini macho yangu.Watanzania watatuonaje kiuongozi kama watu waliopo ni watu aina ya Vuai? Tusiende tena kwenye Midahalo

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Nape aliyezoea kubwabwaja huwezi ukamuona kwenye mijadala ya hoja,amezoea kurap tu mbele ya umati wa wanavijiji wasiojielewa!Kwenye mijadala ya wasomi Nape hawezi kutokeza sababu wanajua nchi hii wanaiendesha kiujanjaujanja,so kiujumla hawana hoja tofauti na vihoja.
 
Sasa kwanini wamekimbia bunge maalum la katiba? Hizo hoja zao mitaani zinawasaidia nini?

""Tunazungumzia mjadala wa Serena Hotel ambapo NAPE NA DR FRANCIS Mzee wa kulia na takwimu walipoamua kuingia mitini na aliyejitokeza ALLY VUAI Akashindwa kuvaa viatu vya hoja kama kawaida ya ma-CCM""Sasa hoja ya kukimbia bunge la katiba wewe unaitoa wapi?Ianzishie mada tuijadili bcoz hii mada haihusu masuala ya kukimbia bunge la katiba,au na wewe ndiye walewale akina VUAI,NAPE et al?
 
tangu lini ccm ikachukua ushauri wa mnyonge ? Ungekuwa TAJIRI labda ungefikiriwa !
 
""Tunazungumzia mjadala wa Serena Hotel ambapo NAPE NA DR FRANCIS Mzee wa kulia na takwimu walipoamua kuingia mitini na aliyejitokeza ALLY VUAI Akashindwa kuvaa viatu vya hoja kama kawaida ya ma-CCM""Sasa hoja ya kukimbia bunge la katiba wewe unaitoa wapi?Ianzishie mada tuijadili bcoz hii mada haihusu masuala ya kukimbia bunge la katiba,au na wewe ndiye walewale akina VUAI,NAPE et al?

Kwanza jiulize hivi. hao walioandaa hiyo mada wametokea wapi? fedha za kukodisha ukumbi wamezitoa wapi? halafu wanapata faida ipi?

Sasa nakuuliza, ikiwa wana hoja nzuri za kuongelea mitaani, kwanini wamekimbia bungeni?
 
Kwanza jiulize hivi. hao walioandaa hiyo mada wametkea wapi? fedha za kukodisha ukumbi wamezitoa wapi? halafu wanapata faida ipi?

hoja dhwaifu sijapata kuona !
 
Kwanza jiulize hivi. hao walioandaa hiyo mada wametkea wapi? fedha za kukodisha ukumbi wamezitoa wapi? halafu wanapata faida ipi?

Sasa nakuuliza, ikiwa wana hoja nzuri za kuongelea mitaani, kwanini wamekimbia bungeni?

Hahahaaaa hoja kama hizi hata mwanangu wa chei chei amekucheka hapa
 
Leo nilikuwepo Serena Hotel kuhudhuria Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi moja binafsi nchini (jina limenitoka). Nimesahau hadi jina la Taasisi kwa yaliyotokea pale. Mdahalo huo ulikuwa ukiongozwa na Bi.Rosemary Mwakitwange na kurushwa moja kwa moja na ITV na Radio One. Pamoja na washiriki wengine,meza kuu iliwajumuisha watu 'wazito'.

Mdahalo ulijikita katika Mada: Tanzania Tuitakayo.Lakini hasa ilizungumzwa sana Rasimu ya Katiba mpya.Meza kuu ilikuwa na Wageni kama Ndugu Juma Duni Haji (Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF),Ndugu Vuai Ali Vuai (Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar) na Humprey Polepole (Mjumbe wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba).

Kiufupi,CCM tumedhalilishwa,tumezomewa,tumejichanganya,tumepoteana,tumejiharibia na kukosea kuhudhhuria pale. Vuai hakutusaidia. Alibaki kutetema kwa hasira na kushikwa na tashwishwi zisizo na maana. Eti alidai watu 9000 ni asilimia 5 ya watu wote wa Zanzibar.Kweli?! Hivi hata kama Zanzibar ina watu milioni moja kamili,asilimia 5 ni watu 9000?

Duni na Polepole walitamba walivyoweza.Walishangiliwa.Walifunika.Walimpotezea mbali Vuai. Walishinda kirahisi kutokana na mwakilishi wa CCM kukosa hoja za haja na kubaki kubwabwaja. Sikuamini macho yangu.Watanzania watatuonaje kiuongozi kama watu waliopo ni watu aina ya Vuai? Tusiende tena kwenye Midahalo

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nijuze ndugu yangu, tanesco waliondoka na umeme maeneo ya kwetu msigani. Nape katibu mwenezi alikula kona?
 
Hawa makamba alishawapiga stop midaharo, hiyo circular ya katibu mkuu inadharauliwa itawaletea matatizo.
 
Kwanza jiulize hivi. hao walioandaa hiyo mada wametkea wapi? fedha za kukodisha ukumbi wamezitoa wapi? halafu wanapata faida ipi?

Sasa nakuuliza, ikiwa wana hoja nzuri za kuongelea mitaani, kwanini wamekimbia bungeni?

Daaaah!!! Bado tuna safari au hawa tunawaacha?? Watu kama hawa mpaka mpaka uwape elimu naona ni bora uwaache tu.
 
Hii katiba inayotungwa sio ya vyama,ni ya nchi

Na maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoundwa na Rais yanapopuuzwa inashangaza sana! Kwa nini tume iliundwa kama tulikuwa tunajua wananchi wanataka nini??
 
Leo nilikuwepo Serena Hotel kuhudhuria Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi moja binafsi nchini (jina limenitoka). Nimesahau hadi jina la Taasisi kwa yaliyotokea pale. Mdahalo huo ulikuwa ukiongozwa na Bi.Rosemary Mwakitwange na kurushwa moja kwa moja na ITV na Radio One. Pamoja na washiriki wengine,meza kuu iliwajumuisha watu 'wazito'. Mdahalo ulijikita katika Mada: Tanzania Tuitakayo.Lakini hasa ilizungumzwa sana Rasimu ya Katiba mpya.Meza kuu ilikuwa na Wageni kama Ndugu Juma Duni Haji (Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF),Ndugu Vuai Ali Vuai (Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar) na Humprey Polepole (Mjumbe wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba).
Kiufupi,CCM tumedhalilishwa,tumezomewa,tumejichanganya,tumepoteana,tumejiharibia na kukosea kuhudhhuria pale. Vuai hakutusaidia. Alibaki kutetema kwa hasira na kushikwa na tashwishwi zisizo na maana. Eti alidai watu 9000 ni asilimia 5 ya watu wote wa Zanzibar.Kweli?! Hivi hata kama Zanzibar ina watu milioni moja kamili,asilimia 5 ni watu 9000? Duni na Polepole walitamba walivyoweza.Walishangiliwa.Walifunika.Walimpotezea mbali Vuai. Walishinda kirahisi kutokana na mwakilishi wa CCM kukosa hoja za haja na kubaki kubwabwaja. Sikuamini macho yangu.Watanzania watatuonaje kiuongozi kama watu waliopo ni watu aina ya Vuai? Tusiende tena kwenye Midahalo
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mi nilitaka kushangaa, Nape akae na Kamishina Polepole kweli ataweza? Hivi mdahalo unarudiwa lini mi sijauona!
 
Leo nilikuwepo Serena Hotel kuhudhuria Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi moja binafsi nchini (jina limenitoka). Nimesahau hadi jina la Taasisi kwa yaliyotokea pale. Mdahalo huo ulikuwa ukiongozwa na Bi.Rosemary Mwakitwange na kurushwa moja kwa moja na ITV na Radio One. Pamoja na washiriki wengine,meza kuu iliwajumuisha watu 'wazito'.

Mdahalo ulijikita katika Mada: Tanzania Tuitakayo.Lakini hasa ilizungumzwa sana Rasimu ya Katiba mpya.Meza kuu ilikuwa na Wageni kama Ndugu Juma Duni Haji (Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF),Ndugu Vuai Ali Vuai (Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar) na Humprey Polepole (Mjumbe wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba).

Kiufupi,CCM tumedhalilishwa,tumezomewa,tumejichanganya,tumepoteana,tumejiharibia na kukosea kuhudhhuria pale. Vuai hakutusaidia. Alibaki kutetema kwa hasira na kushikwa na tashwishwi zisizo na maana. Eti alidai watu 9000 ni asilimia 5 ya watu wote wa Zanzibar.Kweli?! Hivi hata kama Zanzibar ina watu milioni moja kamili,asilimia 5 ni watu 9000?

Duni na Polepole walitamba walivyoweza.Walishangiliwa.Walifunika.Walimpotezea mbali Vuai. Walishinda kirahisi kutokana na mwakilishi wa CCM kukosa hoja za haja na kubaki kubwabwaja. Sikuamini macho yangu.Watanzania watatuonaje kiuongozi kama watu waliopo ni watu aina ya Vuai? Tusiende tena kwenye Midahalo

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
inaonekana ulikuwa haupo makini kabisa, mzee Vuai alisema ni watu mia tisa sitini tuu(960) na si elfu tisa kama wewe ulivyonukuu, na akasema hiyo ni sawa na asilimia tano 5% ya wale waliozungumzia muundo wa serikali! tuwe tunasikiliza vitu kwa umakini, ni sawasawa na Warioba aliposema watanzania zaidi ya asilimia 60% walipendekeza muundo wa serikali tatu, warioba akumaanisha watanzania wote milioni 45 bali ni wale tuu specifically waliozungumzia muundo wa serikali
 
Sasa kwanini wamekimbia bunge maalum la katiba? Hizo hoja zao mitaani zinawasaidia nini?
kwa sasa Bunge halali lipo "mtaani" huko umebaki mkutano mkuu wa nec tena husio na mwenyekiti maalum. ngoja upepo uendelee kuvuma tu kitaa, tuone ka "bwana mkubwa" hajawaita wayamalize....!!!
 
Sasa kwanini wamekimbia bunge maalum la katiba? Hizo hoja zao mitaani zinawasaidia nini?

Dadangu hujui kuwa kutoka bungeni na kuwashitakia kwa wananchi kwa mikutano ni silaha tosha kisiasa?
 
Ccm ni Jumba la wehuuu hutegemei uwezo zaidi ya huo alionyesha huyo mwenzao toka Znz. chama hafifu hakiwezi,kuundwa na watu timamu
 
Dadangu hujui kuwa kutoka bungeni na kuwashitakia kwa wananchi kwa mikutano ni silaha tosha kisiasa?

Silaha ya kijinga. Na wrong timing.

Unafikiri UKAWA wana fedha kiasi gani ya kuweza kuendeleza hiyo silaha yao kwa miezi 3 mfululizo? unless wawe funded na vikundi vya nje visivyo itakia mema Tanzania. Na hizo funds ndizo zitawagawa.

Fikiri!
 
Back
Top Bottom