LUMUMBA ON DUTY!!:majani7: tunasubiri tukuone hivii :mimba:
hoja iliyo mezani inahusu uwezo wa maCCM kujenga hoja, lakini naona unatulazisha tujadili hoja ya UKAWA! kwanini usifungue uzi mpya inayohusu UKAWA badala ya kutuharibia mtiririko wa hoja?
kumbe ccm huwa na hoja tu pale waandaaji wa mudahalo wanapojulikana walipotokea na kujulikana walikopata fedha za maandalizi ya mdahalo? asante kwa kutufungua macho. na ccm wanapata faida ipi ikiwa haya yote yatajulikana? ndipo huwa na akili za kutoa hoja makini?
Wewe Foxy ni mbuzi sana uelewa wako kila siku una mashaka kama wa Vuai
kwani mdahalo huu ulikuwa kwa ajili ya kuwafadhili ukawa mi sijakuelewa.
FaizaFoxy, what has this got to do with what was being discussed? And if the question of who sponsored the debate matters that much, why was Vuai there! Why did he attend at all? On second thought, did the organiser ever put a luku on Vuai's source of vocal utterance; the masticating and tasting apparatus called mouth ?Huo mdahalo ulikiuwa wa nini na nani aloutayarisha, na amefadhiliwa na nani? na kwa faida ya nani?
Kumbuka, kuna watu wanauza nchi yao kwa vijisenti vya per diem na hesabu za uongo. Wanajifanya wao wajanja, hawajui kumbe waliowatumia wanajuwa zaidi yao.
Kama sura yako ya kwenye avatar ni yakwako basi lazima utakuwa na matatizo ya kujirudia rudia.Foxy na mbuzi wapi na wapi? hata wenzako watakucheka.
Ulivyozoea kufadhiliwa unajua wote wamezoea ufadhili jiangalie!Huo mdahalo ulikiuwa wa nini na nani aloutayarisha, na amefadhiliwa na nani? na kwa faida ya nani?
Kumbuka, kuna watu wanauza nchi yao kwa vijisenti vya per diem na hesabu za uongo. Wanajifanya wao wajanja, hawajui kumbe waliowatumia wanajuwa zaidi yao.
FaizaFoxy, what has this got to do with what was being discussed? And if the question of who sponsored the debate matters that much, why was Vuai there! Why did he attend at all? On second thought, did the organiser ever put a luku on Vuai's source of vocal utterance; the masticating and tasting apparatus called mouth ?
Ulivyozoea kufadhiliwa unajua wote wamezoea ufadhili jiangalie!
FaizaFoxy, what has this got to do with what was being discussed? And if the question of who sponsored the debate matters that much, why was Vuai there! Why did he attend at all? On second thought, did the organiser ever put a luku on Vuai's source of vocal utterance; the masticating and tasting apparatus called mouth ?
Unafikiri kuna Mtanzania anaweza kutoa hela yake mwende mkabishanie Serena? Mawee!
like,like, mkulu ile ya kwenye kitufe naona haitoshi, ukweli huo hata wana ccm wana utambua ndo maana hawataki kubadili mifumo ya kiutawala ambayo inavifanya vyombo vya dola kuwa huru!Ukiwaona walikuwa Bungeni wenyewe lakini bado wakawa wanarusha matusi juu ya UKAWA basi ujue hao watu ni wepesi.Niamini ikifika kwakati wa kampeni wategemee wizi wa kura na kwa kuwa tume ni yao ili kulazimisha maoni ila kusema ukweli CCM bila vyombo vya dola haipo .
Hapana za Watanzania ni za kutengenezea ukumbi na kuweka viti vipya vya kubishania!!!!
Happy?????!!!
Bado hujajibu, ni nani hao waliwaandalia mdahalo? wao wana faida ipi na huu mdahalo?