Mkuu Tupatupa unajua moja ya sifa kuu zinazokutofautisha nawenzio pale Lumumba nikwamba wewe sio mnafiki,muoga.Ukweli unausema jinsi ulivyo,naimani nawenzako wangekuwa hivyo chama kingekuwa na ahueni kupona kuzama.Tatizo la wenzio Siasa iko matumboni wanalinda Ugari kwa sababu hawajui pakwenda baada ya hapo walipo!