mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 79
Sio kweli dada angu, hebu tuanzie kwenye chopa 3, kata 3. Kalenga na chalinze ndio tuseme hayo,
vijijini CV ya Uhuru + Nyerere vinaibeba CCM. Mijini watu wameamka toka enzi za Mrema
Sio kweli dada angu, hebu tuanzie kwenye chopa 3, kata 3. Kalenga na chalinze ndio tuseme hayo,
Leo nilikuwepo Serena Hotel kuhudhuria Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi moja binafsi nchini (jina limenitoka). Nimesahau hadi jina la Taasisi kwa yaliyotokea pale. Mdahalo huo ulikuwa ukiongozwa na Bi.Rosemary Mwakitwange na kurushwa moja kwa moja na ITV na Radio One. Pamoja na washiriki wengine,meza kuu iliwajumuisha watu 'wazito'.
Mdahalo ulijikita katika Mada: Tanzania Tuitakayo.Lakini hasa ilizungumzwa sana Rasimu ya Katiba mpya.Meza kuu ilikuwa na Wageni kama Ndugu Juma Duni Haji (Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF),Ndugu Vuai Ali Vuai (Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar) na Humprey Polepole (Mjumbe wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba).
Kiufupi,CCM tumedhalilishwa,tumezomewa,tumejichanganya,tumepoteana,tumejiharibia na kukosea kuhudhhuria pale. Vuai hakutusaidia. Alibaki kutetema kwa hasira na kushikwa na tashwishwi zisizo na maana. Eti alidai watu 9000 ni asilimia 5 ya watu wote wa Zanzibar.Kweli?! Hivi hata kama Zanzibar ina watu milioni moja kamili,asilimia 5 ni watu 9000?
Duni na Polepole walitamba walivyoweza.Walishangiliwa.Walifunika.Walimpotezea mbali Vuai. Walishinda kirahisi kutokana na mwakilishi wa CCM kukosa hoja za haja na kubaki kubwabwaja. Sikuamini macho yangu.Watanzania watatuonaje kiuongozi kama watu waliopo ni watu aina ya Vuai? Tusiende tena kwenye Midahalo
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mleta mada amevurugwa

Sasa kwanini wamekimbia bunge maalum la katiba? Hizo hoja zao mitaani zinawasaidia nini?

Bunge unalijua wewe na walio kuwa kwenye mdahalo sio wabunge ni wananchi,,sasa ukitaka kuona ccm wanavyo tokea kwenye madirisha wananchi waende bungen kujenga hoja na wana ccm ndio utajua kuwa ccm hawana hoja hata chembe.
Sio kweli dada angu, hebu tuanzie kwenye chopa 3, kata 3. Kalenga na chalinze ndio tuseme hayo,
Kwa hiyo ule ulikuwa uchaguzi? Pole pole amepata kura ngapi?