CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!
Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.