Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Alisema bado anadaiwa kulipa mkopo aliokopa CRDB na anategemea kumaliza deni mwaka 2015,kazi anayo
auze ile nyumba yake
Alisema bado anadaiwa kulipa mkopo aliokopa CRDB na anategemea kumaliza deni mwaka 2015,kazi anayo
Watanzania sijui wakoje. Wanashupalia shutuma ambazo hata hawajazifanyia uchunguzi. Kwa taarifa yenu Ni kweli, Maige kafanywa mbuzi wa kafara. Lembeli alihongwa na wafanyabiashara waliokosa vitalu ili amchafue Maige, aondolewe. Lengo ni Ugawaji wa vitalu urudiwe upya ili wazawa wanyang'wanye. Matumaini yao ni kwamba akija waziri mpya watarudia ugawaji wa vitalu. Maige ni kijana nayejituma, mwenye upeo na uelewa wa mambo. Hata kama wamepiga fitna, naamini kuna siku ukweli utajulikana.
inaonekana alimcheka Masha sasa na yeye yamemkuta.... ngoja tusubiri manake Kiwete hatabiriki unaweza kusikia anaanza kutoa mkono wa pole kwa waliotoswa mara akampa ubalozi...
Huyu dogo utoto na utajiri anaomiliki vinamsumbua sana.Mwambieni aje uswazi tumpe michongo.