Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Hapo ujue mtu kang'olewa jino la mbele...2010 Shibuda alifukuzwa mbona maneno hayo hayakuwepo au yeye hakuwa binadamu?
Hapo ujue mtu kang'olewa jino la mbele...2010 Shibuda alifukuzwa mbona maneno hayo hayakuwepo au yeye hakuwa binadamu?
Swali la mfano tu "..hivi Kenya KANU ingalipo?Walikufa mafarao na kaisari, hata British Empire ilifikia ukomo na kifo eti ishindwe kufa CCM. Binadamu ana akili fupi sana.
Kumbe kuna mengi eti?
Halafu hii tsh 10,000/= wanaipenda sana ni ya mda mrefu sana, wenyewe wanakuwepo pale maeneo ya kupigia kura unavuta chako, ndio unaenda kupiga kura, na ten yako mfukoni.chama makini kinawategemea polisi wakimbie na masanduku ya kura kama walivyofanya KINONDONI.
Chama makini kinawanunua watu ili wakipigie kura kama walivyofanya UKONGA pale kila shahada ilinunuliwa kwa 10000/
hujui hata maana ya umakini wewena
nani yule aliyempa sumu mzee MANGULA?
kama kuna demokrasia huko mbona ime PRINTIWA FOMU MOJA TU
ZZK alifukuwa 2015 na mmoja wa walioshadadia afukuzwa ni Tundu.Uzuri au ubaya wa CCM - hata hao wanaojidai eti walipinga Membe kufukuzwa, hawana balls za kutoka hadharani na kusema hilo wala hawana ubavu wa kumfuata Membe huko alipo. How come Magufuli walimpitisha kwa kura 100%?
Maisha yanaendelea. Na mshangaa huyohuyo Membe anaomba kurudi alikotoka baada ya miaka michache. Siasa za Bongo zina wenyewe na it is just a matter of time
Ni hali ya kawaida kuwa na tofauti ya maono na msimamo. Maamuzi ya mwisho huwa ni ya juma hata kama hukutaka.Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.
Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.
Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.
My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Uko sahihi ndg mdau. CCM wana unafiki mwingi sana. Kama wao wana demokrasia kama wanavyodai, mbona walicchapisha fomu moja tu ya uraisi? By they way nami siamini pia kwamba mzee baba anapendwa 100% na kila mwana CCM. Huku mtaani wanasikika sana wakilalamika kwamba kuna mambo hayaendi sawa. Lakini wakifika mkutanoni wanampa 100% ya kura.Uzuri au ubaya wa CCM - hata hao wanaojidai eti walipinga Membe kufukuzwa, hawana balls za kutoka hadharani na kusema hilo wala hawana ubavu wa kumfuata Membe huko alipo. How come Magufuli walimpitisha kwa kura 100%?
Maisha yanaendelea. Na mtashangaa huyohuyo Membe anaomba kurudi alipotoka baada ya miaka michache tu. Siasa za Bongo zina wenyewe na it is just a matter of time
Shangaa sasa. Unafiki kiwango cha SGRHuku mtaani wanasikika sana wakilalamika kwamba kuna mambo hayaendi sawa. Lakini wakifika mkutanoni wanampa 100% ya kura.
Shangaa sasa. Unafiki kiwango cha SGR
Wanafiki kweli, wakitoka nje huku utadhani malaikaKati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.