CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Ujinga wako ndio unakufanya uwe maskin ccm unaisingizia,
shule walikuibia hela yako ya ada waombe wakurudishie
Go fk yourseld and
Whether u like it or not
Ccm has a corrupted party has contributed a lot towards impoverishment of fellow Tanzania.
 
Mashoga mmejazana uvcc ndiyo mwenzenu jana kajitangaza kuwa anasingiziwa kuwa yeye ni shoga na nambari yake ya simu kaweka

huko mnafanya kimya kimya,kama mashababi kweli vile kumbe dooooh.
 
Go fk yourseld and
Whether u like it or not
Ccm has a corrupted party has contributed a lot towards impoverishment of fellow Tanzania.
Kupind wana-corrupt wewe ulikuw wapi na busara zako?
unaakil alafu unatawaliwa na wajinga?
The hottest place in Hell is reserved for those who remain neutral in times of great moral conflict.
Pumbavu zako.
 
Kwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.
Aligusa mioyo yao.
Siku zote maskini ni watu wenye roho mbaya sana hupenda waliofanikiwa wapate majanga ..na huyo mzee kwa kulijua hilo akawa anawabinya ili kufurahisha roho za wanyonge[emoji16]
 
Hutaki wapangaji wa Mirembe hospital Tena?![emoji2956][emoji2]
 
😅😅😅Rais mzuri watamtoa wapi?
 
Nilitaka nikutukane, nikaangalia jina lako. Nikakuonea huruma.
 
Tulikombolewa au tuliingizwa jehanam
 
CCM inatakiwa kuhakikisha kama Taifa, tunakuwa na taasisi imaraambazo zitasimamia mambo ya msingi hata akija kiongozi wa aina gani. USA, kama sio taasisi imara, Trump angewavuruga sana
 
Sema kwa wananchi wa hali ya chini kiakili ndio walimuelewa.
 
Aliwapandisha wamachinga wangapi kuwa wafanyabiashara walipa kodi, bodaboda wangapi waliweza kupata bima ya afya na mama ntilie wangapi walipanda kuwa wamiliki hotel??
Kwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.
Aligusa mioyo yao.
 
Anajua mengi juu ya wagombea hasa wa chama chake CCM. Hayo ya Milembe tulikuwa inaonekana kamati ilikuwa haiyajui.
Yeye ni nan ajue mengi kuliko mabosi zake ndani ya chama na watu waliofanya kazi na Magufuli kwa karibu Ben na JK wasigundue hilo
 
Hivi wewe ma wenzako kazi yako mi kuleta thread za Magufuli!?
 
Kila ukianzisha Uzi ni kumsema vibaya Magufuli unatatizo gani wewe unang'ang'ana kupambana na marehemu?
Utalaaniwa wewe,maisha yako yatatiwa Giza.
Utafikiri wewe ni malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…