Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kwanini wewe usiwe ndiye bwege?Yaani huyo bwege kweli kila siku Magufuli! Stupid!
Kwani matusi yanasaidia kitu gani badala ya kujenga hoja?
Kwanini wewe usiwe ndiye bwege?Yaani huyo bwege kweli kila siku Magufuli! Stupid!
Dialo ndio anakaa na mafaili ya wagombea urais?CCCM nadhani wakati wanampitisha kama mgombea wao hawakumu-consult Dk.Diallo Mana alikuwa na siri kubwa juu ya mgombea huyo. Mana alikuja kutupa mrejesho baadaye. CCM mjifunze kuyapitia mafaili ys wagombea wenu kwa umakini mlituletea balaa.
Niletee Gwajima mwaka 2025CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Alivyokuwa anaua watu kwa kumsoa tu hajui kiingereza alidhan I yeye hatakufawew ndio uliona ataish milele hakuna sehem ali-declare atishi milele
Hayo umesema wewe yeye alijua atakufa..Alivyokuwa anaua watu kwa kumsoa tu hajui kiingereza alidhan I yeye hatakufa
Lilikuwa linashindia ugali wa bure ikulu na kuvimbiwa at taxpayers and donors expense likajisahau na likaelemewa na nyodo dharau na mikono yake kujaa damu likidhani litaishi milele.Hayo umesema wewe yeye alijua atakufa..
Kuua kawaida kwan ajabu
Wew ulikuw unashindia nin?Lilikuwa linashindia ugali wa bure ikulu na kuvimbiwa at taxpayers and donors expense likajisahau na likaelemewa na nyodo dharau na mikono yake kujaa damu likidhani litaishi milele.
ILI LITAKUWA NI JIZI LA MALI ZA UMA BILA SHAKA YOYOTE
CCCM nadhani wakati wanampitisha kama mgombea wao hawakumu-consult Dk.Diallo Mana alikuwa na siri kubwa juu ya mgombea huyo. Mana alikuja kutupa mrejesho baadaye. CCM mjifunze kuyapitia mafaili ys wagombea wenu kwa umakini mlituletea balaa.
Kwa sasa mkojani team ndiyo wana sauti ya juuNiletee Gwajima mwaka 2025
Umetisha sana kiongozi
Chama cha mafisadi CCM kinatakiwa kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kwani kinachangia kwa asilimia kuubwaaa kuwafanya watanzania wazidi kuhangamia kwenye rindi la umaskini na ufukara wa fikra ulioota mizizi nchi nzimaCCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Ujinga wako ndio unakufanya uwe maskin ccm unaisingizia,Chama cha mafisadi CCM kinatakiwa kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kwani kinachangia kwa asilimia kuubwaaa kuwafanya watanzania wazidi kuhangamia kwenye rindi la umaskini na ufukara wa fikra ulioota mizizi nchi nzima
kuimba kupokezanaKwa sasa mkojani team ndiyo wana sauti ya juu
Hakika haya ndiyo maisha tuliyo baki nayo watanzaniakuimba kupokezana
Chama cha mafisadi CCM kinatakiwa kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kwani kinachangia kwa asilimia kuubwaaa kuwafanya watanzania wazidi kuhangamia kwenye rindi la umaskini na ufukara wa fikra ulioota mizizi nchi nzima
Hakika haya ndiyo maisha tuliyo baki nayo watanzania
Ebu wacha kufuru wewe chawa wa mwendazake .
Lita pita kama yalivyopita mengineHakika haya ndiyo maisha tuliyo baki nayo watanzania