CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601
photo_2025-07-29_10-03-03.jpg

Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.

Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na udiwani, lakini waanjijini humo, lakini waandishi wa habari walisubiri katika ukumbi wa White House bila mafanikio hadi saa 6 usiku, a,bapo ndipo kikao cha Kamati Kuu ya CCM ndio kilimaliza muda wake.

Waandishi waliendelea kusubiri wakidhani Makalla atazungumza usiku huo, lakini pia hakutokea.

Ilitakiwa CCM watoe taarifa kwamba ama kikao kimeahirishwa au kimesogezwa mbele na waombe radhi usiku ule ule. Lakini kukaa kwao kimya, kinatoa tafsiri ya dharau kwa waandishi na hata wananchi waliokuwa wakisuiri kwa hamu taarifa hiyo.

Tabia hii ya wanasiasa au watoa taarifa kupoteza muda wa waandishi wa habari imekita mizizi kwa sababu ya ama ni dharau tu kwa tasnia ya uandishi wa habari au kuonyesha kwamba hata wanahabari wenyewe wameamua tu kudharaulika, kwa sababu hatuoni viongozi wao wakitoa taarifa za kukemea.

Ifike wakati sasa dharau hii kwa waandishi wa habari ikemewe na iachwe mara moja.
 
Ifike mahali waandishi kama mnavyojiita mjitambue.
Sina shaka Yesu alimaliza kwa kauli yake " ... tena matendo yao hutenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao, hupenda viti vya mbele katika kalamu na kusalimiwa masokoni na kuitwa na watu..."
 
🔥🔥
 
View attachment 3422886
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.

Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na udiwani, lakini waanjijini humo, lakini waandishi wa habari walisubiri katika ukumbi wa White House bila mafanikio hadi saa 6 usiku, a,bapo ndipo kikao cha Kamati Kuu ya CCM ndio kilimaliza muda wake.

Waandishi waliendelea kusubiri wakidhani Makalla atazungumza usiku huo, lakini pia hakutokea.

Ilitakiwa CCM watoe taarifa kwamba ama kikao kimeahirishwa au kimesogezwa mbele na waombe radhi usiku ule ule. Lakini kukaa kwao kimya, kinatoa tafsiri ya dharau kwa waandishi na hata wananchi waliokuwa wakisuiri kwa hamu taarifa hiyo.

Tabia hii ya wanasiasa au watoa taarifa kupoteza muda wa waandishi wa habari imekita mizizi kwa sababu ya ama ni dharau tu kwa tasnia ya uandishi wa habari au kuonyesha kwamba hata wanahabari wenyewe wameamua tu kudharaulika, kwa sababu hatuoni viongozi wao wakitoa taarifa za kukemea.

Ifike wakati sasa dharau hii kwa waandishi wa habari ikemewe na iachwe mara moja.
Moja haishikiki, mbili inateleza
 
Ni kiherehere tu cha CCM
 
ni muhimu sana kua wastahimilivu na wenye subra gentleman 🐒
 
Mngekuwa na umoja mngewasusia habari yao mkaondoka nyote baadae wangeitangaza wenyewe kwa kupiga mbiu na maspika yao ya magari ya kutangaza mwenge
 
View attachment 3422886
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.

Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na udiwani, lakini waanjijini humo, lakini waandishi wa habari walisubiri katika ukumbi wa White House bila mafanikio hadi saa 6 usiku, a,bapo ndipo kikao cha Kamati Kuu ya CCM ndio kilimaliza muda wake.

Waandishi waliendelea kusubiri wakidhani Makalla atazungumza usiku huo, lakini pia hakutokea.

Ilitakiwa CCM watoe taarifa kwamba ama kikao kimeahirishwa au kimesogezwa mbele na waombe radhi usiku ule ule. Lakini kukaa kwao kimya, kinatoa tafsiri ya dharau kwa waandishi na hata wananchi waliokuwa wakisuiri kwa hamu taarifa hiyo.

Tabia hii ya wanasiasa au watoa taarifa kupoteza muda wa waandishi wa habari imekita mizizi kwa sababu ya ama ni dharau tu kwa tasnia ya uandishi wa habari au kuonyesha kwamba hata wanahabari wenyewe wameamua tu kudharaulika, kwa sababu hatuoni viongozi wao wakitoa taarifa za kukemea.

Ifike wakati sasa dharau hii kwa waandishi wa habari ikemewe na iachwe mara moja.
Kwani kile kibonzo kilichomponza Masoud Kipanya hukukiona?
 
Waandishi wa habari mliitwa na nani??
Mlipewa barua za mialiko??

Au mlijiendea TU ukumbini??
Mkome sasa🤣
 
Msomi mzima,unajiondokea nyumbani kwako kwenda ukumbini,na hujaalikwa Wala hujaitwa?
 
View attachment 3422886
Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana.

Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na udiwani, lakini waanjijini humo, lakini waandishi wa habari walisubiri katika ukumbi wa White House bila mafanikio hadi saa 6 usiku, a,bapo ndipo kikao cha Kamati Kuu ya CCM ndio kilimaliza muda wake.

Waandishi waliendelea kusubiri wakidhani Makalla atazungumza usiku huo, lakini pia hakutokea.

Ilitakiwa CCM watoe taarifa kwamba ama kikao kimeahirishwa au kimesogezwa mbele na waombe radhi usiku ule ule. Lakini kukaa kwao kimya, kinatoa tafsiri ya dharau kwa waandishi na hata wananchi waliokuwa wakisuiri kwa hamu taarifa hiyo.

Tabia hii ya wanasiasa au watoa taarifa kupoteza muda wa waandishi wa habari imekita mizizi kwa sababu ya ama ni dharau tu kwa tasnia ya uandishi wa habari au kuonyesha kwamba hata wanahabari wenyewe wameamua tu kudharaulika, kwa sababu hatuoni viongozi wao wakitoa taarifa za kukemea.

Ifike wakati sasa dharau hii kwa waandishi wa habari ikemewe na iachwe mara moja.
 
Attachments

  • 1751979720340-1.jpg
    1751979720340-1.jpg
    564 KB · Views: 19

Acha watumike tu waandishi wa bongo ni toilet paper
 
Kama kuna posho je?

Hata mimi ninakesha vizuri!
 
Back
Top Bottom