Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

Status
Not open for further replies.
Kila la heri shonza et al.
992948_10201247872948004_226783769_n.jpg

Hahahaaaaa hahahaaaaa hahahaaaaa uuuuwiii hahahaaaaa hahahaaaaa nitacheka mpaka Jumapili
 
USHAURI: Chadema wajipange kulinda kura. Huyu mdada alisema hivyo kwenye chaguzi za kule Singida. Sitaki kusema yaliyotokea.
Tofautisha WANYIRAMBA na machalii wa R-Chuga wewe,,, pale ni A-Town kuwepo tu pale tayari wewe ni form six...

Huyo Shonza mwenyewe ameshindwa hata kulipia chumba cha hotel kaamua kulala kwa Mwigulu ndio maana anajigeuza msemaji wa wana Arusha wakati kafika juzi tu
 
Ruzuku million 300 kwa mwezi hazifiki mikoani,wameshindwa kujenga makao makuu yao wamepanga,hata kugharamia mikutano tu nako wameshindwa kutwa kucha kuwachangisha wananchi halafu wanaenda kunywea pombe na kugawana pale mamba club.hicho ni chama au genge?
funguka mkuu
Nacho kisema
kama serikali inaweza kuomba msaada toka kwa wahisani,je kunashida kama vyama vya siasa vikiomba misaada toka kwa wahisani wao ambao ni wananchi?
mapato ni jambo lingine na matumizi ni jambo lingine pia,point hapa ni je vyama hivi havistahili kupata michango toka kwa wananchi?
kumbuka kuna vyama kila mwaka vinachangisha michango kupitia kadi za uanachama na bado sioni kama ni tatizo
 
Juliana unakumbuka uliyoyasema pale viwanja vya mabibo wakati Dr Slaa alipokuja kuongea na wanafunzi wa UDSM? siamini kama huyu Juliana ndo kabadilika kuwa mjinga hivyo.Niamini Juliana ulipokuwa Chadema ulikuwa unajenga hoja,ulikuwa na vision inayosomeka ila sijui CCM wamekulisha nini? umekuwa kama dustb*n umekuwa waajabu kabisa na wala hufai tena.Hufanani na yule Juliana niliyekuwa nikimfahamu maana hata sura imekuwa mbaya sana siyo kama ile niliyokuwa naiona pale UDSM..Kweli kuwa CCM ni hatari!
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
Kweli umaskini na kukosa ajira ni hatari kuliko hata bomu la Hiloshima. Hivi ni wewe kweli? Uliyekuwa unawatukana CCM kuwa ni majambazi lakini leo uko nao kama kupe kwenye ng'ombe!! CCM uliwaita MAJAMBAZI, leo uko kwao, tukikuita na na wewe kama Dada JAMBAZI tutakuwa tunakuonea? Maana uka na wale uliowaita majambazi. JITATHMINI wewe mwenyewe na CCM jiangalieni msije mkawa mmepoke kirusi
 
Ms.Benazir

Helkopta ni mchango wa kujitolea wa kiongozi wetu mmoja tu wa kanda

1:Andika kama msomi mwenye shahada ya chuo kikuu

Correlation ya Chadema kutumia helkopta na dhana ya utawala bora iko wapi?Tafuta maana ya utawala bora kabla hujaropoka tu maana hapa utadhalilika

2:Unasema millioni 200?Leta mchanganuo na uthibitishe hayo!

3:Leo Mwenyekiti atafanya mikutano mingi ya kufunga kampeni.Naomba jumatatu urudi hapa.Mlidhani kumtembeza kijana Tesha kama Mwenge bila hata aibu mtakichafua chadema kwa unyama waliofanya Chama chako?

4:Uchochezi ni tafsiri ya wenye fikra mgando maana hata makaburu South Africa walitumia lugha hii dhidi ya ANC na akina Steve Biko.Soma vitabu vya historia achana na magazeti ya udaku unayosoma kila siku ya ijumaa na jumanne.I hope umeacha!

Huyo akili zake sio nzuri yani wapinzani wachangie miradi ya kuinua maisha ya vijana wakati pesa hata ya kuwalipa mishahara bila kufanya kazi ipo ila inatafunwa na mapapa; waache basi hata kujenga mabarabara tuuze helkopta zetu tuzijenge sisi si wanataka watafune hata libajeti lizima kwa kuwa upinzani upo utachangia?
 
Kweli umaskini na kukosa ajira ni hatari kuliko hata bomu la Hiloshima. Hivi ni wewe kweli? Uliyekuwa unawatukana CCM kuwa ni majambazi lakini leo uko nao kama kupe kwenye ng'ombe!! CCM uliwaita MAJAMBAZI, leo uko kwao, tukikuita na na wewe kama Dada JAMBAZI tutakuwa tunakuonea? Maana uka na wale uliowaita majambazi. JITATHMINI wewe mwenyewe na CCM jiangalieni msije mkawa mmepoke kirusi

Mkuu huyu dada aliwatusi sana wanawake wa CCM alipokuwa CHASO
 
Halafu siku hizi Juliana kazeeka sana na kukongoroka.Hakuwa hivyo! Inaonekana kuna kitu kajizidishia!
 
Huyu dada yaani asubuhi asubuhi hata kunawa hajanawa anakuja kutueleza imposibilities, hivi anafikiri Arusha ni Iramba?
 
Tusiandikie mate baana...............kesho kutwa hamkawii kuja na thread mpya ya kujipa matumaini....MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA BAANA.
 
wakifanikiwa juu ya hilo ulisemalo , uje mi ntakupa kiti changu cha ubunge wa jamhuri .
 
Ms.Benazir

Helkopta ni mchango wa kujitolea wa kiongozi wetu mmoja tu wa kanda

1:Andika kama msomi mwenye shahada ya chuo kikuu

Correlation ya Chadema kutumia helkopta na dhana ya utawala bora iko wapi?Tafuta maana ya utawala bora kabla hujaropoka tu maana hapa utadhalilika

2:Unasema millioni 200?Leta mchanganuo na uthibitishe hayo!

3:Leo Mwenyekiti atafanya mikutano mingi ya kufunga kampeni.Naomba jumatatu urudi hapa.Mlidhani kumtembeza kijana Tesha kama Mwenge bila hata aibu mtakichafua chadema kwa unyama waliofanya Chama chako?

4:Uchochezi ni tafsiri ya wenye fikra mgando maana hata makaburu South Africa walitumia lugha hii dhidi ya ANC na akina Steve Biko.Soma vitabu vya historia achana na magazeti ya udaku unayosoma kila siku ya ijumaa na jumanne.I hope umeacha!
Hebu niambie Ben Saanane, huyu binti ni msomi wa chuo kikuu? Unamaanisha ana shahada ya chuo kikuu? Manake vyuo vikuu pia hutoa elimu ya vyeti na diploma.

Kama anamiliki shahada ya chuo kikuu, nna mashaka na elimu ya kizazi hiki!!
 
Last edited by a moderator:
Juliana unakumbuka uliyoyasema pale viwanja vya mabibo wakati Dr Slaa alipokuja kuongea na wanafunzi wa UDSM? siamini kama huyu Juliana ndo kabadilika kuwa mjinga hivyo.Niamini Juliana ulipokuwa Chadema ulikuwa unajenga hoja,ulikuwa na vision inayosomeka ila sijui CCM wamekulisha nini? umekuwa kama dustb*n umekuwa waajabu kabisa na wala hufai tena.Hufanani na yule Juliana niliyekuwa nikimfahamu maana hata sura imekuwa mbaya sana siyo kama ile niliyokuwa naiona pale UDSM..Kweli kuwa CCM ni hatari!

Kwa sababu tu alikuwa anaiongelea CHADEMA basi alikuwa na Vision inayosomeka, ila kwa kuwa sasa yupo CCM basi amekuwa wa ajabu, Duh kazi ipo!
 
Heshima mbele Ben Saana.

1. Nikuombe sana ku-address mtu kwa namna anavyotaka a-be-addressed.
2. Kama wanachama wangekuwa kweli wanajitolea; yale madeni ya wanachama wenu waliokuwa wamekopesha chama na walikuwa wanataka kulipwa na chama yalitokea wapi? Hakuna mtu anatoa hela bure hapa... hiyo ni mikopo ambayo lazima ilipwe.

Unanikumbusha kisa cha vilabu vya Simba na Yanga, pale wanasema Mwanachama fulani amejitolea kumsajili mchezaji x kwa mamilioni y... Ukweli ni kwamba it is a business kila mtu anayetoa senti yake kwa hivi vilabu anarudishiwa... similar na hayo ya vyama...

Muda wa Kudanganya watu umeisha sasa...
Heshima ikurudie Mkuu wangu ,
Kasheshe

Wewe ni mkongwe hapa na unajua aina ya siasa hizi.We ni pro kwenye siasa za aina hii

1:Nimemu-address kwa jina lake ambalo lilikua official at some point na bado hajutii kuwa addressed hivyo as long as anaendelea ku-address wengine kwa majina ya 'Cobra' ambalo pia lilikua official at some point

2:Akina Mzee Dosa Aziz na Rupia waliojitolea kwa raslimali kupigania ukombozi wa kwanza wakiwa na Mwl.Nyerere sidhani kama walifanya kwa nia hii unayotaka kumaanisha hapa.Kwa hiyo unamaanisha walifanya hivyo kwa nia hii uliyoelezea hapa wakisaidiwa na Baba wa Taifa wakati huo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom