Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

Status
Not open for further replies.
We juliana mtu atakayekuoa atapata shida sana

mwenyekiti wa chadomo ndoa imevunjika baada yakumjaza mimba mbunge wa viti maalum wa Arusha
katibu wa chadomo nae ameterekeza familia sasa hivi anaishi na mchumba ila kazaa nae halafu bado anamuita mchumba
mwenyekiti na katibu wa chadomo wote ni waseja sasa hivi.
 
Ms.Benazir

Helkopta ni mchango wa kujitolea wa kiongozi wetu mmoja tu wa kanda

Heshima mbele Ben Saana.

1. Nikuombe sana ku-address mtu kwa namna anavyotaka a-be-addressed.
2. Kama wanachama wangekuwa kweli wanajitolea; yale madeni ya wanachama wenu waliokuwa wamekopesha chama na walikuwa wanataka kulipwa na chama yalitokea wapi? Hakuna mtu anatoa hela bure hapa... hiyo ni mikopo ambayo lazima ilipwe.

Unanikumbusha kisa cha vilabu vya Simba na Yanga, pale wanasema Mwanachama fulani amejitolea kumsajili mchezaji x kwa mamilioni y... Ukweli ni kwamba it is a business kila mtu anayetoa senti yake kwa hivi vilabu anarudishiwa... similar na hayo ya vyama...

Muda wa Kudanganya watu umeisha sasa...
 
Duuu.
Naona Mkaamua kukaa Chumba kimoja na Mwigulu Stereo Hotel Arusha.

Source:
Mhudumu wa Pale Ambaye ni Pumziko la Jamaa yangu wa Karibu akiwaga Arusha

mkuu umesoma vizuri post ya shonza?amesema nguzo zenu ni
uwongo
uzushi
maandamano
hivyo sishangai wewe kuapply nguzo yenu kuu ya uongo.
 
Duuu.
Naona Mkaamua kukaa Chumba kimoja na Mwigulu Stereo Hotel Arusha.

Source:
Mhudumu wa Pale Ambaye ni Pumziko la Jamaa yangu wa Karibu akiwaga Arusha

kuwa mkweli mkuu huyo muhudumu ni pumziko la babu maana kazee kale ni noma .kweli mbuzi hazeeki maini ndo mana kalishawahi kufumaniwa na mkewe dodoma na muhudumu wa hotel.
 
USHAURI: Chadema wajipange kulinda kura. Huyu mdada alisema hivyo kwenye chaguzi za kule Singida. Sitaki kusema yaliyotokea.
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.

we juliana juliana unatutia aibu wenzio. kuna uongo gani chadema? saa zingine na wewe uwe unanyamaza! mwee....
 
baada ya nchi mbali mbali kukata misaada kwa rwanda kutokana na kusapoti mapigano kule kongo,raisi wa nchi hiyo alifungua akaunti ya bank na kuwashauri wananchi wake kuchangia kile walicho nacho.
sasa kama serikali inawachangisha watu wake na kumbuka serikali ndio inayokusanya kodi,vipi kuhusu vyama vya siasa?
sioni kama kuna shida wananchi kuchangia chama cha siasa.
kuhusu kushinda ama la ktk hizo chaguzi ni swala la kuwapa wananchi muda wafanye maamuzi,kwani kura ni siri,wewe unajuaje kuwa chama furani kitashinda? je kisiposhinda si ndipo mtalazimisha ushindi? hapo ndipo vurugu hutokea.
tutoe nafasi kwa wananchi kufanya maamuzi bila shuruti.
 
USHAURI: Chadema wajipange kulinda kura. Huyu mdada alisema hivyo kwenye chaguzi za kule Singida. Sitaki kusema yaliyotokea.

sema tu mkuu kwamba ccm iliwagaragaza vibaya chadomo.
Nisaidie hili hivi kulinda kura kama watu hawajawachagua kunasaidia kufanya mshinde?
 
baada ya nchi mbali mbali kukata misaada kwa rwanda kutokana na kusapoti mapigano kule kongo,raisi wa nchi hiyo alifungua akaunti ya bank na kuwashauri wananchi wake kuchangia kile walicho nacho.
sasa kama serikali inawachangisha watu wake na kumbuka serikali ndio inayokusanya kodi,vipi kuhusu vyama vya siasa?
sioni kama kuna shida wananchi kuchangia chama cha siasa.
kuhusu kushinda ama la ktk hizo chaguzi ni swala la kuwapa wananchi muda wafanye maamuzi,kwani kura ni siri,wewe unajuaje kuwa chama furani kitashinda? je kisiposhinda si ndipo mtalazimisha ushindi? hapo ndipo vurugu hutokea.
tutoe nafasi kwa wananchi kufanya maamuzi bila shuruti.

Ruzuku million 300 kwa mwezi hazifiki mikoani,wameshindwa kujenga makao makuu yao wamepanga,hata kugharamia mikutano tu nako wameshindwa kutwa kucha kuwachangisha wananchi halafu wanaenda kunywea pombe na kugawana pale mamba club.hicho ni chama au genge?
funguka mkuu
 
We unaonaje, sio kweli kwamba ni chama kubwa?

Jumatatu nikikutania usiripoti abuse lakini...

Chama kikubwa!!! katika wabunge zaidi 300 muna Wabunge 23 tu wakuchaguliwa,ktk Almashauri zaidi 135 ,CDM inaongoza 9 tu hata 10 hazijafika,Hiki ni chama cha Magazeti tu.subiri kesho uone watavyo dhalilika ktk uchaguzi wa Madiwani muliowafukuza.
 
Jaman nimeshangaa kabisa kuona garama kubwa inatumika kwenye hizi chaguzi ndogo kias kwamba naogopa, kwani kutafuta madaraka kwa kutumia fedha nyingi ni mbaya sana kwani kama wananchi wanaelewa sera sa chama kuwa ni kuwaletea maendeleo hamna haja ya kuruka hewani na kuwawatambia tunapiga kampeni za anga, huu ni utafutaji madaraka ambao mwishowe lazima wananchi waje kulipa, hiv mtu anazunguka makuyuni kwa ndege akiangusha vipeperushi, anadhani wanachi ndio watamsikia, nafikiri ni vema kuonana na wananchi uso kwa uso na si wakati wa kampeni tu bali mara kwa mara kwani wanachi wanaonekana wamuhimu wakati wa uchaguzi,

Kwa wanaoelewa hali mtihani ni mtihani tu hata uwe wa darasa la kwanza. Shindano ni shindano tu ni lazima ujipime na mpinzani wako ujue utatumia mbinu ipi ili kushinda!
Kinachotatiza ni kama kampeni haziendeshwi kiustaarabu! Matusi, kuchafuana hakujengi; waelezeni wananchi mtawatatuliaje kero zao kama wakiwachagua? Kutumia reference za huko nyuma kwamba mwenzako alishindwa hili na lile sawa lakini na wewe ueleze utatatua vipi hizo kero?

Nawatakieni uchaguzi mwema hapo kesho.
 
sema tu mkuu kwamba ccm iliwagaragaza vibaya chadomo.
Nisaidie hili hivi kulinda kura kama watu hawajawachagua kunasaidia kufanya mshinde?

Sikatai kushindwa kwa haki. Ninachosema hapa ni kuwa tuko tayari kuyakubali matokeo ila kwa tabia yenu ya wizi wa kura - nawaasa makamanda kuwa wasibweteke bali walinde kura zetu. Mtu kulinda mali yake ni haki ya kikatiba.
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.

Wewe naona wadudu bado wanakutekenya, inaonekana Mwigulu hajakukuna vizuri jana.
anyway,
Hapo kwenye red ccm wangekuwa wanaelewa hilo, zile pesa ambazo Lowassa na wenzake ukiwepo wewe walizokusanya pale Club Africo zaidi ya Milioni 200 kwa ajili ya kampeni, badala ya kuzitumia kuwahonga vijana mmengezielekeza kwenye maendeleo, kwa kutambua dhana hiyo hiyo ya utawala bora hizo pesa mmengewagawia vijana na vikundi vya akina mama wakapata mikopo bila riba ili wakajikwamue kiuchumi.
Zile pesa mmezichangisha pale Kimandolu zaidi ya Milioni 200, wakati Kimandolu pekee inahitaji milioni 50 tu kwa ajili ya ujenzi wa zahanati. Kama ccm wangekuwa na akili pesa zile wangezielekeza huko. Bahati mbaya Mungu aliwanyima akili msione!

Arusha ccm wasahau kabisa!

peopleeeezzzz!!!!!!
 
Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo.Wenye akili timamu hatuna muda wa kushabikia wala kusifu ladha ya mboga iliyopo jikoni hali tunajua mwisho wa siku italetwa mezani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom