Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

Status
Not open for further replies.
wewe naona wadudu bado wanakutekenya, inaonekana mwigulu hajakukuna vizuri jana.
Anyway,
hapo kwenye red ccm wangekuwa wanaelewa hilo, zile pesa ambazo lowassa na wenzake ukiwepo wewe walizokusanya pale club africo zaidi ya milioni 200 kwa ajili ya kampeni, badala ya kuzitumia kuwahonga vijana mmengezielekeza kwenye maendeleo, kwa kutambua dhana hiyo hiyo ya utawala bora hizo pesa mmengewagawia vijana na vikundi vya akina mama wakapata mikopo bila riba ili wakajikwamue kiuchumi.
Zile pesa mmezichangisha pale kimandolu zaidi ya milioni 200, wakati kimandolu pekee inahitaji milioni 50 tu kwa ajili ya ujenzi wa zahanati. Kama ccm wangekuwa na akili pesa zile wangezielekeza huko. Bahati mbaya mungu aliwanyima akili msione!

Arusha ccm wasahau kabisa!

Peopleeeezzzz!!!!!!

unajua Mungi mtu kama wewe unapaswa kuja na hoja za msingi na matusi. Manake kwa matusi chadema hamuwezekani nyie. Na tumewabatiza jina chadomo manake kutwa kuzusha, kutusi, kuleta ugomvi and the like.
Btw salam sana kwa Mzee wa Rula
 
Last edited by a moderator:

Unataka kusema Mwigulu, Nape na Lusinde ni wanachadema?
Hapa tunazungumzia ukweli siyo matusi.
 
unataka kusema mwigulu, nape na lusinde ni wanachadema?
Hapa tunazungumzia ukweli siyo matusi.

kosa halisahihishwi na kosa.
Sasa alipotusi lusinde ama mwigulu ama huyo nape ndo umtusi shonza??
 
:Ak2ina Mzee Dosa Aziz na Rupia waliojitolea kwa raslimali kupigania ukombozi wa kwanza wakiwa na Mwl.Nyerere sidhani kama walifanya kwa nia hii unayotaka kumaanisha hapa.Kwa hiyo unamaanisha walifanya hivyo kwa nia hii uliyoelezea hapa wakisaidiwa na Baba wa Taifa wakati huo?

Heshima Mkuu wangu,

Akina Rupia, Kawawa, Nyerere etc hawapo... siku hizi siasa ni biashara na ni ajira ....mbele kwa mbele... na mikopo mingine either ni inflated au inarudishwa kwa riba... not otherwise.

Ben Saanane, Mimi hanidanganyi mtu ati ni mkombozi wa wananchi yet yeye mwenyewe yuko kwenye siasa kwa kama ajira yake... Thus why mimi mi muumini mzuri wa siasa za Kenya ambao wengi waliko kwenye siasa za Kitaifa wenyewe wamejitosheleza... Hivi tangu lini mpiga debe wa mabasi ya mikoani aache kupigia debe basi lake lijae aaanze kukuambia ukweli kwamba basi lake sio zuri kama lile lingine lililosimama pale.

Unawajua waliodai hela zao baada ya uchaguzi wa 2010... hakuna haja ya kuwataja majina.
 
unajua Mungi mtu kama wewe unapaswa kuja na hoja za msingi na matusi. Manake kwa matusi chadema hamuwezekani nyie. Na tumewabatiza jina chadomo manake kutwa kuzusha, kutusi, kuleta ugomvi and the like.
Btw salam sana kwa Mzee wa Rula

Unataka kusema Mwigulu, Nape na Lusinde ni wanachadema?
Hapa tunazungumzia ukweli siyo matusi.

hii thread imekaa vizuri sana hii. ha ha ha ha.... utazani kilabuni, kabla watu pombe hazijakolea vizuri kichwani. ngoja niende zangu kariakoo mie saa hizi--nianze kazi ya kusubiria majibu kesho
 
Last edited by a moderator:
Heshima Mkuu wangu,

Akina Rupia, Kawawa, Nyerere etc hawapo... siku hizi siasa ni biashara na ni ajira ....mbele kwa mbele... na mikopo mingine either ni inflated au inarudishwa kwa riba... not otherwise.

Ben Saanane, Mimi hanidanganyi mtu ati ni mkombozi wa wananchi yet yeye mwenyewe yuko kwenye siasa kwa kama ajira yake... Thus why mimi mi muumini mzuri wa siasa za Kenya ambao wengi waliko kwenye siasa za Kitaifa wenyewe wamejitosheleza... Hivi tangu lini mpiga debe wa mabasi ya mikoani aache kupigia debe basi lake lijae aaanze kukuambia ukweli kwamba basi lake sio zuri kama lile lingine lililosimama pale.

Unawajua waliodai hela zao baada ya uchaguzi wa 2010... hakuna haja ya kuwataja majina.

Nadhani hapa sasa unamlenga mwenyekiti waTLP aliyedai hana mtaji wa biashara ya Urais...

Hayo mengine yasiyokua na facts huwa siyajadili.Na pia Mwl.Nyerere na wenzake walaiacha kazi kuongoza harakati za ukombozi wa kwanza.Hayo mengine uliyoandika tujiulize tumefikaje hapa?Who is responsible?Tutakuja kulazimiaka kuwa na debate ya aina hii kule jukwaa la great Thinkers siku moja
 
kosa halisahihishwi na kosa.
Sasa alipotusi lusinde ama mwigulu ama huyo nape ndo umtusi shonza??

Shonza hakuna aliyemtusi Shonza............. usituletee upuuzi na wewe!
Kuna tusi na ukweli......... na nilichokisema ndiyo ukweli acheni upumbavu bana
 
Jaman nimeshangaa kabisa kuona garama kubwa inatumika kwenye hizi chaguzi ndogo kias kwamba naogopa, kwani kutafuta madaraka kwa kutumia fedha nyingi ni mbaya sana kwani kama wananchi wanaelewa sera sa chama kuwa ni kuwaletea maendeleo hamna haja ya kuruka hewani na kuwawatambia tunapiga kampeni za anga, huu ni utafutaji madaraka ambao mwishowe lazima wananchi waje kulipa, hiv mtu anazunguka makuyuni kwa ndege akiangusha vipeperushi, anadhani wanachi ndio watamsikia, nafikiri ni vema kuonana na wananchi uso kwa uso na si wakati wa kampeni tu bali mara kwa mara kwani wanachi wanaonekana wamuhimu wakati wa uchaguzi,

unaandika nonesense gani?
 
Kila la heri shonza et al.
992948_10201247872948004_226783769_n.jpg

K
wikwiwkwikwiiiiii...kwakwkakwakwakwakwaaa...pwaaaa mpyuuuuuuuu....ntuu.
 
Shonza hakuna aliyemtusi Shonza............. usituletee upuuzi na wewe!
Kuna tusi na ukweli......... na nilichokisema ndiyo ukweli acheni upumbavu bana

hivi rudi kwenye post yako ya kwanza niliyouquote useme wewe yale sio matusi??
na hapa unaghadhabika kwa kinywa chako kisichokuwa na breki unadai huo ndio ukweli.
so wataka kusema ukweli ndio huo uliosema kuwa shonza hajakunwa vyema na mwigulu??
 
msaada kwenye tuta hilo neno maana yake nini linapotumika kwa binadamu?
maana sijazoea!
 
Mwisho wa Haya ni Katiba Mpya Inayokuja ikipita hutaruhusiwa kufanya haya... Kwa hiyo jitahidi sana kuondoa hasira zako mapema.

Pili sheria ya Cyber Crime iko Jikoni... By 2014 itakuwa iko kazini... hapa pia patakuwa mwisho wa hayo unayoandika else utakiwa ndani ya cage.

What Are You Trying To Implicate??
 
Siasa mchezo mchafu suala msingi ni vijana wenzangu tufanye kazi tuachane na hawa wanajiita wanasiasa ambao hawajui hata wapi tunatoka wala wapi tunakwenda kama upo kinyume na statement yangu waulize hawana jibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom