JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,360
- 9,615
Kuna kila dalili ya kwamba CCM wamekuwa wanyonge tangu JPM aondoke duniani.
Hadi Sasa hawajaelewa mwenyekiti wao mpya anawatetea wao ama wapinzani?
Minong'ono Mingi inaonesha Wana wasiwasi na Mwenyekiti wao.
Wengi wanadai Mwenyekiti anasoma kwenye mitandao na kufanya maamuzi bila kujali hayo maoni yanakinufaisha chama na wanachama ama ni kuwanufaisha wapinzani.
Kiufupi wanachama wanaona wapinzani wakiwa na furaha na kuwazodoa huku ccm wenyewe wakibaki kumkosoa mwenyekiti wao na kukosa nguvu ya ushawishi mtaani.
Swali?. Watarudi enzi za kuvaa nguo ukumbini tu?