Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,584
- 23,929
Kwa tuliosoma zamani na tuliopenda namba (hesabu), twajaribu kutafuta uwiano kati ya kitendo cha CCM kuvua gamba, je walitumia HCF (Highest Common Factor) au LCM (Lowest Common Multiple) ? Samahani wana JF kiswahili chake sikijui, nimesoma zamani.
Nadhani hizi picha mbili zitatusaida kujibu hiki kitendawili, Kazi kwenu !
Nadhani hizi picha mbili zitatusaida kujibu hiki kitendawili, Kazi kwenu !