CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

Why does that old tyrant Nyerere look so good today? Well, just look around you...

Jenerali+Ulimwengu.jpg



By JENERALI ULIMWENGU (email the author)







Posted Monday, April 18 2011 at 00:00

The third Mwalimu Julius Nyerere Intellectual Festival took place at the University of Dar es Salaam this past week, and saw the participation of many eager people, young and old, from the region and beyond, all drawn to the the ever growing image and stature of a man who died a dozen years ago.

The question many people were asking at this festival was: How is it that Nyerere, so long after his death, still exercises such influence on young people?

What is the mystique about the man that still keeps people, even those who never knew him, in a form of intellectual thrall?

Answers to these questions cannot be easy, for Mwalimu was many things to many people.

Some will remember him as the nationalist leader who led his country on a peaceful, bloodless campaign for Independence, thus avoiding the bloodbath that other movements had been prone to.

This has been seen in some quarters as evidence of wise leadership, careful stewardship and maturity in negotiating skills.

However, Nyerere’s subsequent leadership of Tanganyika, and later Tanzania, with the socialist policies laid down in the Arusha Declaration, has had as many detractors as it has had admirers.

There are those who considered Nyerere’s policies doomed to failure because they ignored the basic tenets of human nature — that is, that man is selfish and that he can be motivated to work only when he is working for himself, and further that collective work cannot be productive because of what is called “the tragedy of the commons” — what belongs to all belongs to no one.

Even at an event that is dedicated to a certain level of reverence for the man, it was not easy to avoid the perennial issues attaching to the authoritarianism of many African leaders of the Independence generation and their failure to translate national Independence into their peoples’ freedom(s).

While our leaders resisted oppression as practised by the colonial regimes, observed a young participant in the festival, they brooked no opposition or criticism from their own people, a charge Nyerere could not be said to be above.

So, once again, what is this mystique about Nyerere?

I honestly don’t know, but I can only guess that the reason resides in the immortality, not of the man, but of some of the ideals he stood and fought for: The freedom and equality of peoples. Human dignity. Social justice. Integrity and ethical leadership.

In plain English, Nyerere believed, preached and practised, to the best of his ability, the philosophy that human beings need to be treated as deserving equal rights without regard for their birth or background, tribe or creed, that leaders do not own people or nations, that thieves should go to jail and not to Government House — the simple things that should be taken for granted but are alien to our rulers today.

It is because of these attributes of Julius Nyerere, which are so conspicuously absent in our present rulers, that the man’s lustre refuses to go away, and young men and women flock to him posthumously.

It speaks to the absence of an heir, a leader who would have emerged from the current crop of leaders to take over the mantle of Nyerere or Nkrumah. We are bereft of leadership at a time when we sorely need to be led.

flashad 1 | 2 Next Page »
 
Chama cha mapinduzi CCM ni chama kinachoongoza nchi tena kwa kipindi ambacho kinafahamika na baada ya hapo wanatakiwa wawaeleze watanzania kuwa ndani ya miaka kadhaa wakiongoza Dola wamesaidiaje wananchi.

Kana kwamba hawalielewi hilo wamekuwa wakifanya kazi hicho kama zima moyo mithili ya watu wasio na mipango,mfano katika badiliko la katika halikuwepo sasa wamevaa mithili ya kama lilikuwepo kwenye miongozo yao hayo walioambia watu watafaya nini.
 
yaani hawa wanatapatapa kweli ,.... ni kama timu ya mpira imefungwa sasa dakika zinayoyoma basi wanahangaika tu
 
Aliyepata kura 0 CUF Kiteto ateuliwa kuwa Diwani viti maalumu.

CUF wilayani kiteto mkoani Manyara imemfuta uanachama Bi.Amina Abdalah Mnubi diwani viti maalumu aliyepata kura 0 kuwa mwakilishi katika nafasi hiyo na wanachama mwingine mmoja kwa kugushi nyaraka za chama zilizompa nafasi hiyo hiyo kinyume cha sheria.

Mwingine ni Bw.Abasi F. Mohamedher ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji wilaya ambaye alidaiwa kugushi nyaraka hizo na kuzipeleka makao makuu ya chama akimtaja Bi.Amina Mnubi kuwa ndio aliyeteuliwa badala ya Zaina Mokiwa aliyeteuliwa na mkutano huo.

Katika hali ambayo haikutazamiwa mjumbe wa kamati ya utendaji Bw. Abasi F.Mohamedhir aliandika muhtasari wa kumtambua Bi.Mnubi kuwa ndio mteule nafasi hiyo na kuupeleka makao makuu ya chama ambapo walituma jina hilo tume ya uchaguzi.

Hata hivyo barua toka makao makuu ya chama hicho cha CUF yenye Kum.NA.EA.64|74|08|21 kuhusu malalamiko ya CCM iliyoandikwa kwa mkurugezi mtendaji juu ya uteuzi wa madiwani viti maalum ilimuidhinisha Bi.Amina Abdalah kuwa ndio aliyeteuliwa.

Kwa mujibu wa barua ya CUF wilaya iliyoandikwa na Bw.Abu Abdalah Kimosa kwa katibu mkuu ya tarehe 30.12.2010 kupinga uteuzi huo ikieleza kuwa katika mkutano wa kumpata diwani huyo Mnubi alipata kura 0.

Iliezwa wajumbe waliohudhiria katika mkutano huo walikuwa 21 ambapo kati yao 15 ndipo walipiga kura ambapo wagombea walipata kura kama ifuatavyo,Bi,Amina Abdalah Mnubi kura 0,Situmai Sefu Mabomba kura 6,na Zaina Mokiwa akiibuka kuwa mshindi kwa kura 9.

Taarifa hiyo kwa chama ilionekana kutotiliwa maanani na ndipo mkurugenzi mtendaji wa Halamashauri ya wilaya katika barua yake yenye kum.HMW|KT|U|VOL.VI|34|10 iliyohusu uteuzi wa madiwani wanawake.

Katika uteuzi huo ilionyesha kuwa CCM imepata viti 5,CHADEMA kiti kimoja na CUF kiti kimoja ikieleza kuwa mgawanyo huo umezingatia matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika okt 31 2010.

Kwa mujibu wa taarifa toka katika vyanzo vya uhakika ambavyo wameomba kuhifadhiwa majina yao na taasisi zao ambazo ziliombwa kusaidia hali hiyo zimesema mchakato huu bado unaendelea na wahusika watafikishwa mahakamani.

“Bila kificho Diwani huyo ametakiwa kujiuzulu kwenye nafasi hiyo mara moja au la atafikishwa mahakamani katika hatua ambayo itamdhalilisha zaidi kwakuwa alichofanya ni cha kudhalilisha chama na kosa la jinai|kilisema chanzo hicho ambacho kilisema kitaendelea kutoa ushirikiano.

Mwisho.
 
du kazi kweli kweli nimesoma hizo habari yangu macho hasa kuiona ccm inaanguka chali pia nawashauri mafisadi wajiuzulu nyadhifa zao za ubunge tuitishe chaguzi ndogo chadema ichukue hivyo viti kwa sababu kuna watu safi wanatakiwa kuingia bungeni uku viti vyao vikiwa vimekaliwa na mafisadi papa
 
..Its obvious...sidhani kama hao mafisadi walikula peke yao...M/kiti ni moja ya mtuhumiwa wa kwanza...
 
lipi jema mnataka ccm ilifanye muone imejivua gamba maana lawama haiishi kila siku kulaumu tuuu!!!
 
lipi jema mnataka ccm ilifanye muone imejivua gamba maana lawama haiishi kila siku kulaumu tuuu!!!

For now, it's too late for ccM to do anything which will appear good machoni mwa watu wanaojitambua. Washaharibu vya kutosha thus chochote watakachogusa inaonekana ni usanii.., coz we don't trust any word coming out from thoz whether remained or left Magambaz!!
 
Kutoka kitabu cha mwalimu nyerere; MOYONI KABALA YA SILAHA:

Kwamba ili kushinda vita yeyoye ile lazima kwanza askari waishinde MOYONI kabla ya kuchukua vifaru, mabamo na hata mabomu ya nuklia. Bila kwanza kuwa na moyo wa dhati katika kuvishinda silahazote hizo ni kazi bure. Lazima kuelewa na kukubaliana sababu ya kushinda vita, lazima nia iwe imenyooka, lazima sabubu zikubalike akili moyoni na kwenye hisia za wapiganaji.

Kwa CCM ya leo?

Moyoni hakuna nia ya kweli, hakuna dhati wala ukweli wowote wa kubadilika. Ni matokeo ya minyukano ndio imepelekea hiyo bahati mbaya ya kufikia hapo.

CCM watambue kuwa GAMBA HALIOTI MOYONI hivyo kwa kuliondoa hawajagusa mioyo yao. Bado mioyo ya wapiganaji imechafuka na kuchanganyikiwa. Gamba liko mwilini , kitakacho isafisha CCM si usafi wa miili bali usafi wa mioyo ya wapiganaji.

Kuondoa Gamba ni kunoa silaha lakini silaha kabla ya moyoni ?muasisiawa chama alisha sema ni upuuzi mtupu.

NI MOYONI KABLA YA GAMBA

CCM WARUDI WAJITAFAKARI NDIPO WAANZE TENA VITA
...HAKIKA KWA HIVYO HAWANA USHINDI!!

KWA HIVYO WATAKUBALIANA NA AZIMIO JIPYA TULILOWAPA SIKU NYINGI LAKINI WAKALITUKANA!!

NAWATAKIENI KILA LA GHERI NI MIMI WENU AZIMIO JIPYA!!!!
 
Democratic Party [Chama cha Rais Barack Obama alieko madalakani nchini Marekani] ni muungano ama mseto ulioundwa chini ya Rais Thomas Jefferson katika miaka ya 1790 wakipingana ama kukinzana na sera [Policies] na utawala wa George Washington [The First President of United States of America 1788 and 1792]. Awari muungano au mseto huo ulijulikana kama kama Republican na baadae ulikuja kujulikana kama Democratic-Republican Party.

Kuvunjika uko na mwanzo wa makundi ya ndani kila moja likigombania kuwakilisha mawazo na matakwa yake kiutawala kama makundi ya kiitikadi ndani ya mseto,ulioanzia wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 1828. Chama cha National Republican kilivutika kwa chama cha Whig Party 1834, na kingine kingine kikawa Democratic Party.

Katika miaka ya 1830s chini ya uongozi wa Rais Andrew Jackson [Rais wa saba 7 miaka ya 1829 -1837] na baadae Rais Martin Van Buren [Rais wa Nane 8 wa Marekani miaka ya 1837-1841] chama cha Democratic Party kiliendelea na kuwa na tabia ambazo leo hii tunaziona ndani ya sera zake chini ya Rais wa sasa wa Marekani Barack Obama [Rais wa 44 wa Marekani 2008-2012].

Democratic Party waliegemea katika siasa za nje kuwa tayari kutumia nguvu ya Taifa [National Power] pale ambapo maslahi [Interest] ya wamerikani itaonekana kutishiwa popote pale duniani, na huku sera za ndani za uchumi na jamii, waliitaka Serikali kuchukulia kwa umakini [Cautiously] huku wanachama wake wakikubaliana kwa pamoja kuwa hawataki na hawapendi Serikali kuingilia mambo yao maisha yao binafsi.

Huku chama cha Whig kiliamini katika kutumia nguvu ya Serikali [Government Power] katika kusaidia kuanzisha [Promote],kudhibiti [Regulate], kusahihisha na kukosoa [Correct] na kurekebisha na kuleta mabadiliko [Reform].

Nikiludi kwenye mada yangu,natumaini kwa mtu au mwanachama yoyote makini ndani ya CHAMA TAWALA yani CCM ni wakati mwafaka wa kukubali kuwa zama za kuwa CCM MOJA wakati ndani watu wanamwelekeo tofauti zimekwisha. Chama cha Mapinduzi kifanye mabadiliko ya kweli manake kuteleza hapo ni msiba na maziko ya chama hicho.

Zingatia historia hiyo hapo juu utaona ni kwa namna gani maswala haya yapo toka zama hizo lakini uelevu wa wahusika haswa wanachama usaidia ujenzi wa jamii mpya zenye malengo na Itikadi tofauti lakini kusudio la kila mmoja la kuleta maendeleo kwenye jamii husika.

NINI KIFANYIKE KUIKOA CCM
[CHAMA CHA MAPINDUZI]
Wanachama na wapenzi wa CCM wakipenda CCM isife ilo lawezekana, ni lahisi tu kama watarudi kwenye Misingi ya kuanzishawa kwa chama cha mapinduzi [5 February 1972].

1: Kuludi kwenye misingi ya kusudio la kuanzishwa kwa Chama hicho uku wakizingatia zama na nyakati katika kuboresha makusio na malengo yake na si kufuta [Kama walivyofuta Azimio la Arusha].

2: Kuwaludi walengwa [Target] na kama ingekuwa ni soko, wanunuzi wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM]. Kwa ufahamu wangu walengwa wa CCM ni Wakulima na Wafanyakazi [Sio Matajiri na Wafanyabiashara].

3: CCM Kuvunja ndoa yake na wafanyabiashara na Matajiri kwa uhalisia Matajiri na Wafanyabiashara huko sio kwao. Huko ni kwa walalahoi [wavuja jasho wa Nyundo na Jembe]. Wakipingana na hilo kitakachofuta ni maasi ambayo yatazamisha hata kile kidogo ambacho wangekiponyesha sasa hivi.

Wakingangania watavipoteza kwa wao na vizazi vyao na kuwaponza washirika wa.o Kwani ni wazi idadi ya Matajiri na Wafanyabishara walio ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni wa Kuhesabu hata kama wako laki tatu [300,000], ndani ya wanachama Millioni nne, achilia mbali umma wa watanzania wapatao millioni alobaini na nne kwa sasa[44], bado ushindi ni mkubwa.

Wengi wetu tumewaangalia Mafisadi wachache tena hawazidi watu [30] lakini ukweli nenda mikoani kuna mafisadi walio chini ya mfumo huo wa kifisadi wengi sana.Tizama wabunge walio wengi ni wafanya biashara na matajiri toka mikoani na walikokuwa viongozi Serikalini waliokwenda kugombea ilikupata nyongeza ya madaraka.

4: Kwa kua dhamira na kusudio waasisi wa CCM ilikua kuwa ni chama cha walalahoi, dhamira hiyo ni jadi na asili [Nature]. Ndio maana kilichotokea sasa ni moja ya tabia ya asilia ya muundo wake wa kimapinduzi.Na Mafisadi wakingangania kuwemo ndani ya nyumba ambayo mwenyewe alikukaribisha akifikiria ni ndugu yake kumbe adui, na muhusika kagundua hilo linalofuata ni mwenye nyumba kumtimua.

Kungangania kwao pamoja na pesa zao ni janga kwao na familia zao na washirika wao. CCM ni UMMA sio kweli wanaCCM wote wanafaidika na UFISADI wa Wanachama wenzao, wanaccm wamemulikiwa taa na jirani yao wakaamshwa kitakachofuata ni HAPATOSHI.

Mtajwa mmoja rasmi ndani ya chama kama moja na chanzo cha kukataliwa kwa chama cha CCM, ameonywa na kiongozi mmoja wa kidini kwamba akae kimya. Chonde chonde amsikilize sana kiongozi wake huyo wa kiroho anajua nini kitafuata endapo jeuri ya Pesa itamlazimu kuitumikia.

Yatakayofuata ni historia kwao na kizazi chao kuwa alikuwepo fulani sembuse wao [French Revolution].Wao watapita lakini Taifa la Watanzania litaendelea kuwepo daima, mpaka muumba atakapo amua.

5: Wanaojijua kuwa ni Matajiri na Wafanyabiashara waliondani ya CCM ni ushauri wa bure kuanza sasa kujitoa katika safu zote za uongozi pengine wakaludi chini kabisa na kuwa wanachama wa kawaida na kuacha asili [Nature] ichukue mkondo wake kama walivyoingia kwa kasi kwenye chama hicho ndivyo watakavyotoka kwa kasi [What goes around comes around].

Kungangania mpaka kuja kutolewa ndani ya siku (90) zijazo zilizotajwa ni kujijengea mazingira ya kukatalika popote pale mpaka kwenye vyama vya upinzani hata mbaya zaidi kukataliwa na jamii,kwani tafsiri ya Watanzania kuhusu jina FISADI [Ni mtu aliyejitajirisha kwa kuwaibia raia (UMMA) yaani watanzania].

6: Ni wakati muhimu CCM kutoa rasmini nini ITIKADI [IDEOLOGY] yake, na kuanza kufanya mageuzi kwa kufuata nini wananchi wanataka na watanzania kwa ujumla.Hili lifanyiwe tafiti za mara kwa mara na kutoa taarifa mapema na kwa haraka ili kutoa kujibu maswali na dukuduku la wananchi mapema na kwa wakati sahihi pindi inapobidi. Kuchelewa kujibu maswali ya wananchi kwa vitendo ni kuendeleza tatizo.

7: Kuzalisha na kuhamasisha viongozi wenye kuamini katika kutatua matatizo ya nchi [Wananchi] na sio chama. Mfumo wa viongozi wa kizamani kuona chama ndio nchi umekwisha. Kiongozi asukumwe na kuona nini akikihamasisha wananchi watahamasika na kufuata ili kujiletea maendeleo na ustawi wao.

Mfano sijawai kuona ukelezaji wa sera za maadili kwa umma [Jamii] sio za viongozi tunazosikia kila kukicha.Mitaani tunakoishi jamii inalia hakuna maadili, ni kazi ya nani kusimamia maadili.Kwa CCM haya ndio moja maeneo yanayoitaji usimamizi kwa uhakika yatarudisha imani ndani ya chama hicho na kwa UMMA.

8: Kuondoa viongozi wababaishaji [haswa Vihiyo] manake nao ni tatizo, sehemu yenye kuitaji maamuzi ya busara kwa upeo finyu muhusika analeta mzaha.
Na kujivunia kofia ya chama, ya kuwa watamfanya nini. Kuanzisha Idala ya Kuakiki na kusikiliza malalamiko ya wanachama na wananchi juu ya kiongozi yoyote ndani ya chama kukiuka maadili na kuwa hatendi wajibu wake,kitendo cha kutuhumiwa tu ni mtaji tosha wa kumuengua ndani ya chama,[ Performance by Appraisal].

9: Kuludisha maadili ya Viongozi na Maadili ya wanachama [Ethics],viapo viwe ni nguzo ya kusimamia haki.kinachotakiwa azimio la arusha liludi lakini liboreshwe na kuendana na nyakati na zamaza leo.Lakini chama bila maadili ni meli bila nahodha ambayo ni kukosa mwelekeo.

10: Mwisho ni mafisadi kuamua kuanzisha chama ama kujiunga na chama ambacho wao wanaona wanavutika na mwelekeo wake [kama walivyofanya Republican Party kwa kujiunga na Whig Party]. Ni haki yao na watanzania na hakika ilo hawana tatizo nalo kama vyama hivyo vipo tayari kupokea viongozi na wanachama wenye mwelekeo huo wa kiitikadi.

Lakini kuendelea kuwa ndani ya chama ambacho wenyewe hawataki tena mchango wa mafisadi, ni kukusanya lundo la matatizo na mwisho wake ni mbaya na ni vyema kukumbuka usemi huu wa wengi wape.Wenye CCM wanaitaka waludishieni watafute chama chenye ITIKADI yenye kufanana na matakwa yao, mafisadi wao si wa kwanza yalikuwepo tangu zama hizo.
 
Wajameni,

Nimekuwa nikijiuliza kwamba kama Lowassa ameonekana ni gamba kwenye chama chake je, kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge itabidi nako hawezi kuwa ni gamba vilevile?
 
hahaaaaa nyie wana hebu muacheni mamvi wa watu apumzike
 
Kama anabusara anatakiwa hadi uo ubunge ajiuzuru ili kulinda chama chake,
 
Suala la Lowasa litafuata mtiririko ufuatao:-
1. Kupokea barua ya Katibu Mkuu wa CCM;
2. Kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya CCM
3. Kupoteza ubunge
4. Kutokuwa mwenyekiti wa kamati
5. Kurudi Monduli

Hivyo Mr. Mamvi amekaa pabaya! hesabu zake tofauti na matarajio yake LABDA CDM mumpe hifadhi
 
Mzee mamvi ni mtata na anabadilika kama kinyonga lazima safari hii agome kujiuzuru yaani kila scandal yeye tu ndio anakuwa kondoo wa kafara.
 
sitashangaa akawa ndio rais mtarajiwa manake wengi wanamuunga mkono ndani ya chama ila wanajificha na isitoshe ****** mwenyewe ni gamba kubwa ndio la kwanza lilitakiwa kungoka sidhani kama mzee wetu mamvi handsome boy atakubali kufa mwenyewe...
 
Kwa hali halisi ilivyo sasa hivi katika nchi yetu, hata ccm ikipasuka hakuna jipya litakalokuwapo kutokana na kupasuka huko; sababu kwa maoni yangu ni kwamba uzalendo umetoweka kwa kiwango kikubwa mno, na hili limesababishwa na pengo kati ya walio nacho na wasio nacho na sasa hivi majority ya wasio nacho wanapigania ku-survive; ccm ikipasuka vipande vingapi wings zote zitakuwa za wenye nacho, wasio nacho wameshatengwa kutoka humo kwa vitendo japo baadhi ya wananchi bado wanakishabikia tu bila kujijua.
 
Back
Top Bottom